Search results

  1. M

    JK Kanyaga twende, ukombozi wa watanzania u mikononi mwako!

    Wafanyabiashara wengi walitoa michango yao kusuport CCM sasa ni zamu yao kurudisha fedha walizotoa! Mdhamini mkuu wa campain za ccm ni wewe mlalahoi. Nimepata taarifa kuwa mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 52,000/= kwa ndoo kubwa! Mkate wa supa loaf sasa ni 800 kwa eneo letu!
  2. M

    Tanzania to build US$2bn hydropower plant with Brazilian technology

    Mimi nimewachoka hawa watawala! mgao wa umeme ndo mikakati ya kufuja mali ya umma inaanza, inamaana hakuna wataalamu wanaoweza kupanga mipango ya muda mrefu TZ? It is a shame to the Government!!!!
  3. M

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Inawezekana Zitto ni kama glass ya Gongo ambayo ni hatari kwa matumizi ya binadamu!!!!
  4. M

    JF's impact on Tanzanian Politicts

    Alishaonja joto ya jiwe na ID tofauti ndo maana analalama!
  5. M

    Chadema yalaani kuzuiwa mikutano........................

    kiranga nafikiri ulizaliwa wakati watu wanabishana ndo maana unabisha kuhusu rushwa Tz! Leo nenda sehemu yeyote halafu waulize wananchi kama kuna haki inatendeka mahakamani! Siyo lazima uchemshe yai kwa dakika 5 ndipo ujue yai huiva kwa dakika 5.
  6. M

    Chadema yalaani kuzuiwa mikutano........................

    Kiranga;1316148]Hili ndilo linalosababisha tukwame nchini mwetu, attitudes za kuogopa legal battles za miaka minne. Hivi hujui hata kama hili litachukua miaka minne, lita set precedent kwa vizazi vyote vijavyo? Miaka minne ni nini kwa maelfu ya miaka yajayo? Tusiwe na mawazo ya kuangalia kesho...
  7. M

    Kumbe CDM wanatekeleza ilani ya CCM

    You too a great thinker? You must be joking, you are a GREAT SINKER!!!! Basi msamehe!
  8. M

    Top TEN REASONS TO DRINK ALOE VERA GEL

    je kama una mmea wa Aloe vara unatayarishaje ili unywe?
  9. M

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    Zitto Kabwe the minister of .....................................
  10. M

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    katiba inakuruhusu kuongea uonavyo ili mradi usivunje sharia!
  11. M

    Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

    Nakumbuka ni huyu mama aliyesababisha mawaziri watumie kodi ya mlala hoi kuzunguka nchi nzima kuelezea uzuri wa bajeti! ama kweli sikio la kuja halisikii dawa. Huu ni ushahidi tosha kuwa ccm hawafai kuongoza nchi! wanachofanya ni kupeana ulaji bila kujali maslahi ya nchi
  12. M

    SAFU YA UKOMBOZI TANZANIa

    Ole wenu mnaowatesa wapiga kura!
  13. M

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    Ukweli ni kwamba ccm ni dhalimu tena kupita kiasi, wabunge wao wanajali posho kuliko kutetea maslahi ya wapiga kura. naamini saa imefika ya ukombozi wa kweli chadema kaza buti mimi ninawasupport. Pia nashauri utaratibu wa michango ya hiari uendelee ili tuendelee kuichangia kwa ajili ya manufaa...
  14. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Kumbuka mwanamke ndiye aliyekuzaa wewe usimdharau
  15. M

    Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

    ndicho nilichokuwa nasubiri Dr atamke! ccm ni wezi tena wasiokuwa na huruma na wanachi wanaoteseka kwa sababu yao! wameshijilimbikizia mali ya umma. Dr Slaa mimi nakuunga mkono usikubaliane na wezi wa kura za watanzania
  16. M

    Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

    Inaonyesha wazi kuwa wapinzani bado wana beef wao kwa wao, na hii ni dalili mbaya sana kwa wapinzani. Chadema wapo kama 45 inamaanisha 45+8 ndo 53. Vyama vya upinzani vimesalitiana kiuwaziwazi!
  17. M

    Hongera Regia, Mbunge kupitia viti maalum CHADEMA

    Hongera sana Regia! Mnapaswa kuweka bidii ya kufanya kazi ili miaka mitano ijayo msiwe wahanga wa kukataliwa na wapiga kura kama vile ccm ilivyokataliwa karibu nchi nzima. Nawatakia heri katika ujenzi wa Taifa la Tanzania! Tanzania tajiri hapo hapo MASIKINI SANA!
  18. M

    Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

    Ahsante nimeona!! Duh sasa hii ni kali ya mwaka! Je kuna mtu anaejua idadi ya jimbo la geita na hilo la nyang'wahle?
Back
Top Bottom