Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.
Kwanza kabisa, nimezaliwa nimekuta kuna majina au maneno watu...
Hakuna mtanzania aliyeukana uraia wa Tanzania, ukipata uraia kwa mfano wa UK hawakunyang'anyi passport yako. Lakini uraia wa kuzaliwa ni haki ya kila raia hata mzungu akizaliwa Tanzania anakuwa na uraia wa kuzaliwa.
Road tax kwa barabara zipi ?, UK gari yako hiki haribika kutokana na ubovu wa barabara council inakulipa. Kwa sababu ni kosa lao hawakutegeneza barabara vizuri na kuacha mashimo. Ndio kazi ya road tax, sasa kwa bongo sijui wamecopy jina bila kujua maana halisi ya road tax
Niliwahi kusema hapa, TRA hawawezi kumuelimisha mlipa kodi hata siku mmoja kutokana na tabia yao ya kuwa wao ndio wakusanya kodi.
Kinachotakiwa kufanyika, ningependekeza halimashauri au wabunge na hata level ya diwani kuwepo na desk kwa ajili ya watu kupata ushauri juu ya ulipaji kodi.
Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.