Search results

  1. AMB

    Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

    Mmeshindwa kusema na viongozi wa dini mmeona wasanii ndo rahisi, na kwenye kampeni zenu msiwatumie maana wanapotosha ukweli kwa maslahi yenu.
  2. AMB

    Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

    Kuna mtu aliripoti kuwa mwanasheria alikuwepo, aliwezaje kuruhusu hayo yote kutokea? Na ni nini wajibu wake kama mwanasberia ambapo hayo yote yametokea mbele yake na asijue mteja wake kapelekwa wapi, kachukuliwa na nani na kwa nini?au na yeye Bashite?
  3. AMB

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii ikoje? Unatakiwa kuwa na line maalum au hii hii ya kawaida mradi tu uwe maeneo ya chuo? Maana nimecheki *149*42# kwa line ya kawaida inaleta vifurushi ambavyo kiukweli vinavutia, hawa ndugu zetu wakati mwingine wanakata hela halafu kifurushi hupewi kama uko nje ya chuo. Msaada tafadhali!
  4. AMB

    Shyrose hujaonewa

    Duh kumbe mwakilishi wetu hana maringo kama waliokukaushia...:D:D:D
  5. AMB

    Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

    Nakumbuka tulipandishiwa bei ya mafuta ya taa hivi hivi na bei ya dizeli na petroli ikashuka hivi hivi kwa kisingizio cha uchakachuzi........ pumbavu sana!
  6. AMB

    Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

    Haisomi peke yake hii inamgusa kila mtanzania......... kwa mfano mimi sitoweza kusafiri...... maana hata bajaji imetajwa.... lori la mkaa limo, nk... kama kweli kwanza ni sheria ya hovyo kuwahi kutokea
  7. AMB

    Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

    Uwezo wa Watanzania kufikiri ndo umefika hapo
  8. AMB

    Itazame safu ya bodi na menejimenti ya ACACIA Mining Tanzania kisha utaelewa tatizo liko wapi

    Tujikumbushe tulivyopitisha muswada wa gesi kwa dharura:D:D:D
  9. AMB

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

    Bashite vs Vihiyo............
  10. AMB

    Kwa kilichofanywa na CCM Dodoma; Je, CHADEMA mnaweza?

    Rudia tena.... Wanachofanya kilishafanywa kitambo na wapinzani lkn kwa upofu na uziwi wa mapenzi ya chama hukuwahi kuona wala kusikia
  11. AMB

    Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

    Ukisoma vizuri utaona wameandika kamsindikiza mahakamani sio nyumba ya kulala wageni
  12. AMB

    Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

    Vya Bagamoyo au? [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji23]
  13. AMB

    Kauli kama hizi kutoka kwa Kiongozi wa Nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia

    Ugumu wa maisha [emoji36] [emoji36] [emoji36]
  14. AMB

    Kuzuiwa viroba: Konyagi waanza kufunga virago?

    Tanzania ya viwanda inakuja
  15. AMB

    kuhusu windows phone..!

    Kwa anayejua mie naomba msaada wa kuinstall swiftkey keyboard na mobdro kwenye Microsoft 640 xl
  16. AMB

    Zitto Kabwe: Nimepata kitu juu ya mahakama na kesi ya Mbowe

    Wewe uliyekwenda toa mrejesho sasa
  17. AMB

    Mwakyembe: Awamu iliyopita aliyetuwezesha kukamata 99% ya madawa ya kulevya aliishia jela

    Inashangaza anayetishia kuifuta TLS analia kwenye media o_Oo_Oo_O:confused::confused::confused::confused:
  18. AMB

    Msaada: Huawei P8 lite Update.

    Ushauri wa bure kama hakuna shida yoyote kwenye hiyo version achana na update, hapo ilipo ni safi sana tu ndugu yangu, mi nilikuwa na kiherehere cha kupata marshmallows (Android 6.0)najuuuta kuifahamu! Si kwa ulaji huo wa bando mzee. Natamani kurudi nyuma lakini ujanja ndo sina.
Back
Top Bottom