Search results

  1. T

    Chuo siendi sasa niende wapi?

    mkuu vp kama geo nna e,hist s, bt economics nna f,stl naweza soma diploma ya course za biashara?
  2. T

    Loan board wahamia Mwenge

    lazma wajisogeze pale,na watawapata watu tu,mjini shule
  3. T

    Sheikh Ilunga alazwa India

    kweli kabisa
  4. T

    nisome koz gani nina E flat S gs na bamF HGE???

    vp kuhusu tutakao apply diploma?tena tax,co education .kuna dalili ya kupata mkopo ?
  5. T

    Nina SSB (HGK), yaani nina principle moja. Je, napata chuo gani kozi gani kwa point hizo?

    mkuu kuhusu hiyo pre entry prgm!kama nna s 1 na e 1,naweza piga?na faculty zipi naweza pata?
  6. T

    Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    mkuu so far nataka ni apply ita,diploma ya customs and tax management,2 yrz!kwasababu malengo yangu ilikua ni kusoma hii course japo nilitarajia ningeanza bachelor but cjakata tamaa,swali ni kama na cc wa diploma tunaweza apply mkopo.
  7. T

    Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?
  8. T

    Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    nina div 4 ya 18,bam f,gs f,geo e,hist s na economics f,naomba ushauri kama kwa matokeo haya naweza jiunga na diploma vyuo vya hapa bongo,na vp course zote related to tax?naweza pata kwa hayo matokeo au itanibid nianze cheti!
  9. T

    Ukipewa nafasi ya kuwa rais

    ngoja nijifikirie kwanza
Back
Top Bottom