Search results

  1. Sophist

    Kenya: Mahakama Kuu yasitisha Ubinafsishaji wa Bandari za Mombasa na Lamu

    Unless yours is a calcature utakuwa na tatizo la uelewa!
  2. Sophist

    Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

  3. Sophist

    Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    This lady is unfit for presidency period!
  4. Sophist

    Mbarali: Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA wavunja rekodi ya mahudhurio

    Mikutano ya hadhara sawa, agenda ya nchi je? Samia ametenda kinyume kwa kuwateua wapemba kuongoza mashirika ya umma yasiyokuwa kwenye mambo ya Muungano - TPDC na NHC- Chadema kimyaaaa! Chama kime-compromize hakieleweki! Salaam zao! Lissu naye amechomoka kimya kimya kurudi ulaya! These guys!
  5. Sophist

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Ninafahamiana na Kasavubu. Ulichosema ni sahihi. Ni mha. Anatokea Kigoma. Naishia hapo
  6. Sophist

    Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    duh, self or state assigned chawa?
  7. Sophist

    Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    Hii Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam mbona looks like a disserted facility?
  8. Sophist

    Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Njia za DART (Morocco/Mwenge DSM) kimya. Mradi wa JNHPP (2025 badala ya June 2022). SGR serikali iko kimya. Barabara ya Kimara Kibaha 8 lanes kimya. Daraja la Kigongo kimya.
  9. Sophist

    Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Sijui iwapo cognitive competence ya Sasha iko sahihi. Miradi iligarimiwa na fedha za mikopo. Sawa! Lakini miradi haijakamilika na inaonekana serikali imeishiwa fedha za kukamilisha miradi hiyo wakati mikataba ya mikopo ya kugharimia miradi husika bado ni hai! Sasa kwa nini miradi imesimama...
  10. Sophist

    Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Too much unfounded confidence
  11. Sophist

    Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Haya, tupatie eye seen yako!
  12. Sophist

    Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Huyo Rugambwa aliwkuwa proxy wa Katibu Mkuu Sefue. Ndiye aliyemuweka pale kwa kazi maalum (soma ku-facilitate wizi wa fedha za umma kupitia manunuzi ya umma). Kabla ya uchaguzi Mkuu 2020, akishirikiana na waziri Ummy Mwalimu, waliiba pesa kwa kisingizio cha kuchangia CCM. Ni kweli kuna mchango...
  13. Sophist

    Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    alikuwa anajianika tu kule Uarabuni!
  14. Sophist

    Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Duh, Wilbroad Slaha huyu! Mtu mwenyewe hajisimamii bali husimamiwa na wananwake anaowatongoza. Katika maisha yake yote Wilbroad Slaha hakuwahi kufanya uamuzi isipokuwa kwa chagizo za wanawake. Josephine Mushumbusi ni mwanamke aliyemrubuni Wilbroad Slaha kuhamia CCM baada ya kukosa nafasi ya...
  15. Sophist

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Hawa watu wa ukanda wa Pwani ya nchi yetu ni bure kabisa. Ni uswahili na umbea kwa kwenda mbele. Hawafai kuongoza nchi hawa!
  16. Sophist

    Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

    Sijui kwa nini Watanzania mnaelezwa ila hamuelewi. Kuweka umeme nyumbani kwa mtu/mtumiaji ni uwekezaji wa TANESCO. Ni kuisaidia Tanesco kuwekeza kwenye biashara yake ya kuuza umeme; ili mtumiaji aweze kununua nishati na kuiingizia TANESCO mapato. Sasa hoja ya kusema tzs elfu 27 inatoka wapi...
  17. Sophist

    Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

    Weka ukweli hapa jukwaani basi. Kisha nitarejea sehemu ya ripoti inayothibitisha nilichosema.
  18. Sophist

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Ninadhani wewe ndio mburura haswa. Chadema na Lissu walitaka kupata a negotiated position, siyo msamaha wa Rais ambao hauna justification. Chadema atatoka hapa triumphantly. Judge ataamua kuwa akina Mbowe hawana kesi ya kujibu; Jamhuri ilipeleka mashitaka fake mahakamani. Ushindi kwa Chadema...
Back
Top Bottom