Search results

  1. Tabu

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    hivi jamani ni kweli?maana nataka kujiaandaa kufunga safari kwa shida yangu nilionayo..mwenye ushuhuda atuambie fatadhali..
  2. Tabu

    Waandishi wa Habari wa Tanzania sio wazalendo, wana majungu: Kibonde

    Kibonde ni mgonjwa wengi tunalifaham haswa watu wa upanga, siku nyingi tu Anatumia dawa tu ndo kuna wakati aliponea tundu la sindano, naona akarudi sasa si mnajua Yale maradhi pia yana brain damage pia msibishane hapa mwezenu si sawa.
  3. Tabu

    Arrgghh! Mkwe!...

    Nyegelesha mambo ya mama mkwe kutompenda mkwewe hayajaanza hivi karibuni,yameanza enzi za mababu huko,ila sina hakika la kina baba kutoheshiu wakwe zao hili naliona siku hizi au kuna yeyote anaejua historia Kama hii zamani?
  4. Tabu

    yupi mwenye afadhali

    daa Mwasu umeleta topic wakat wake,mimi bora ya kizungu ya kwanza hapo maana ni mapenzi ya kweli hii ya kiafrika miajianaume ya kiafrika isiyojali hata shling elfu hamsini likikusaidia litatatangaze ohh nilikusaidia elfu hamsni mkiachana anakudai ha ha ha.bora wa kizungu unajua ni mapenzi ya...
  5. Tabu

    Wanawake Hawapendi nini?

    he he yaani comments zingine hizo wanawake hawapendi nini zimenifurahisha kweli,ile lingine wanawake hawapendi wanaume wanaopenda vya bure pia,unakuta mwanaume yeye anapenda mijimamam mikubwa wakati ana mke mzuri tu eti shugamami ili apate vya bure na sisi wanaume,,mi naona mwanaume kupenda vya...
  6. Tabu

    Arrgghh! Mkwe!...

    haya sasa hapo ni wanawake kweli sometime wamama wakwe wana bubu sana hata akiona umevaa umependeza oh hela za mwanagu,mnaenda kutembea mnapoteza hela wamama wengine,ila ndo mwanamke inabidi uwe na subira,uvumilivu ujue kua mwisho wa siku ni mama wa mumeo tu hata ufanyaje,je kwa wanaume nao...
  7. Tabu

    Wanawake Hawapendi nini?

    bubu umeniacha hoi kweli
  8. Tabu

    20 signs that Relationship is DEAD!

    haswaaaa hot to recover a dead love,maana moto umezima kabisaaa :mad2:
  9. Tabu

    20 signs that Relationship is DEAD!

    acid nimeguswa na point zako uko juu,mimi si mshabiki wa jamii hua naingia kwa ajili post za mahusiano tu.am so impressed na comments zako. nanukuu 'upendo una highs and lows,'hebu nisaidie nirudisheje mapenzi kwa mwenzangu?na kama trust imeondoka inakuaje hapo?nataka kuendelea kua na na...
  10. Tabu

    20 signs that Relationship is DEAD!

    Kweli kwenye mahusuiano vitu kama hivi vipo sasa hapo nyie wawili ni kusuka au kunyoa maana kingine kuanza upya mahusiano kwingine ni issue,inabidi mmoja wenu ajifanye mjinga mukae muongee tatizo lipo wapi nadhani inakua vizuri zaidi mmoja akijitolea kuliko kila mmoja kushindwa kujishusha.
  11. Tabu

    kunyanyaswa kimapenzi

    wewe outlier naona una matatizo ya akili ee umeongea pumba ndo maana si kuwa nimenyanyaswa bora kunyamza kuliko ujibu pumba mbona wengine wamenyamaza kama hawana point?mambo ya tigo ndio nini!!!hebu achja utoto,ndo unyanyasaji wenyewe huo.
  12. Tabu

    kunyanyaswa kimapenzi

    wewe Outlier kama huna point bora unyamaze kuliko kuongea pumba!
  13. Tabu

    kunyanyaswa kimapenzi

    mh basi asante Pretty je ukimpenda mtu halafu anakutukana anakupa kashfa,anakutafutia sababu kila siku ziszo za msingi kama kukusingizia una mahusiano na mwanamke mwingine wakati si kweli au mwanaume?kukutukana?kukuvunjia heshima mbele za watu kama kukutukana mbele za watu?hiyo nayo ipo vipi?ni...
  14. Tabu

    kunyanyaswa kimapenzi

    Jamani wana JF nauliza swali ili nipate kujua maana watanzania may be hatujui maana ya kunyanyaswa kimapenzi.naomba munielimishe mtu kunyanyaswa kimapenzi maana yake nini?kwa pande zote mbili mwanaume au mwanamke??
  15. Tabu

    The Remainder...

    Sasa ndo kusema upo nae na ya nini jujiumiza roho kama huwezi kusamehe? ukisamehe unaendelea la sivyo maisha hayaendi hivyo maana kuna sababu mtu unayofanya umsaheme mwenzio,kama mimi nilimsame mwenzangu kwa kosa kubwa na sijawahi kuzungumzia tena hapo ndio mapenzi yanakolea!la sivyo kuwa na...
  16. Tabu

    Penzi-kipato= mgogoro (?)

    NIMEGUSWA HAIKA..MAANA ULILOONGEA NDO REAL LIFE YANGU..i wish mtu fulani angekuwa anaingia humu asome
  17. Tabu

    Penzi-kipato= mgogoro (?)

    ni ya muda but Haika i agree with your comments!TRUST,make sure wewe ni mwaminifu before hujam jurge mwenzio kuwa si mwaminifu,unajua bwana kama wewe si mwaminifu weweunadhani mwenzio naye yupo hivyo
  18. Tabu

    The Remainder...

    [B] *watu hua hatukubali kutake responsibily,ndo maana lawama zinakuwa kwa mtu mmoja kila mmoja wetu angekuwa anakubali hilo basi tungekuwa hata kwenye ndoa zetu matatizo yanapungua japo matatizo ni mojawapo kwenye mahusiano yetu, unajua hata mwanamke akikuendea kinyume kuna sababu na hata...
  19. Tabu

    The Remainder...

    nimeipenda hiyo women,mwanzoni mapenzi motomoto baadae mambo meengi,mbaya zaidi lawama zote tunawatupia wanawake,oh yeye ndo alikosa hufikirii sababu ya yeye kwan nini alikosea mkayamaliza mahusiano yanazidi kutumbukia shimoni inabakia lawama kwa mtu mmoja huku waume tukijisafisha!tuangalie...
  20. Tabu

    Tujikumbushe UMBWE

    Kuna wadau humu waliowahi kusoma Kibosho?Ngarenaro?Enaboishu?
Back
Top Bottom