Search results

  1. C

    Dokta Khalid funika kombe mwanaharamu apite

    DOKTA KHALID FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE Na mwandishi Wetu Katika hali isiyo ya kawaida, Wizara ya fedha Zanzibar imegundua wizi wa fedha zaidi ya milioni mia tano (500m) uliofanywa na baadhi ya wahasibu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa utaratibu maalumu. Inadaiwa kwamba mtandao wa...
  2. C

    Aliepigwa risasi na polisi Mahonda - Zanzibar, afariki dunia

    Baada ya harakati za kwenda donge kufanya mhadhara jumuiya ya Muamsho,wakati wapo njiani maelfu ya wananchi walikutana na polisi wakiwa wameweka road-block ktk kiji cha mahonda njiani,wananchi hao wakaamua kukaa kitako chini kwa wote waume na wanawake,Polisi baada ya kuona hivyo wakaamua kupiga...
  3. C

    Ikiwa wananchi watajitokeza kwa wingi kutoa maoni yao, watapata KATIBA wanayotaka

    Leo katika harakati zangu za kimaisha nimebahatika kukutana na mmoja ya wajumbe wa Tume ya Katiba,kwa kuwa tunajuana na tunafahamiana uzuri, Tukasalimiana na kuulizana hali na baada ya salam nikampa pongezi za kuchaguliwa kwake kuwa Mjumbe wa Tume hiyo,ndipo yalipoanza hayo mazungumzo,baada ya...
  4. C

    Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Dogo nitake Radhi,sasa matusi ya nini,hizi ni tetesi hebu tuache wenye taarifa watatupa. Inaonekana Huyo MUkama na wewe hamna tofauti... kama huna hoja nyamaza usiwe kama wajinga
  5. C

    Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari.. Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Chadema kukutana siri mara kwa mara,hizi siri mimi ndio naziogopa,chupu chupu niachane na Cuf...
  6. C

    (Video)Sultani wa Zanzibar alivyofurahia mauaji ya Karume; alitarajia kurudi Zanzibar?

    Kwanini isiwe MR X,au ndo mnatafuta pakukimbilia na kupotosha ukweli halisi.. Itabaki kuwa ni MR X Aliemuua Karume. Hata hiyo video haionyeshi kabisa namna Sultan alivohusika. na huyo jamaa alikuwa hayupo na huko alipo alikuwa hana nguvu zozote.Ajabu mtu kama wewe kutuletea ajenda kama hii.. lkn...
  7. C

    CUF na serikali damu damu

    Sasa ndo nazidi kuamini kua chadema mpinzani wake ni Cuf sio ccm ya sabodo... lol! Slaa kachanganyikiwa na Tandahimba,kashangaa kuona bendera za Cuf kila pembe, ajabu ametumwa na ccm wakaziharibu ngome za Cuf,bahati mbaya anakutana na watu wanaojua mchele upi na pumba zipi,ndio maana...
  8. C

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Znz ikiwa mbioni ktk harakati zake za kulibakisha Jina la ZANZIBAR ktk ramani ya dunia na kujivunia Jina lao, Je! kwa upande wa pili wa Muungano ni Lipi jina linalostahikki kati ya TANGANYIKA NA TANZANIA BARA? Na kwanini Tanganyika wanakataa jina lao? NAKUKUMBUSHA TU, leo znz kama siku moja...
  9. C

    Malaki ya wazanzibar kuomba dua kubwa ktk harakat za kuikomboa znz usiku wa tar 25

    WAZANZIBAR wanawatangazia wazanzibari wenzao wote duniani kua siku ya jumatano tar 25 April Kuamkia siku ya alkhamis itafanyika dua kubwa msikiti mkubwa wa kidongo chekundu usiku mzima katika kuikomboa nchi yetu, na asubuhi ya tar 26 wazanzibari wote tutafunga safari ya kwenda viwanja vya...
  10. C

    Baina ya CUF na CHADEMA kipi CCM-B? - hoja ya matusi

    Baada ya malumbano marefu na ya siku nyingi tena ikiwa ktk maeneo tofauti na mada ya hapo juu ama ktk thread nyengine ambazo hazihusiani na kadhia hiyo,leo nimeona niweke thread maalum kwa kadhia hii baina ya Cuf na Chadema ipi ni CCM-B,ambapo humu hasa itakuwa ndio sehemu yake na kupeana point...
  11. C

    Ubunge Arusha: Natabiri CUF kusimamisha mgombea

    Inaonekana Adui wenu ni Cuf na sio ccm, na inaeonekana Mnaiogopa sana Cuf.. maana imekukaeni moyoni lol!
  12. C

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Mchakato wa kupata katiba mpya upo njiani huenda ikazaa katiba tatu Rasmi, TANGANYIKA, Zanzibar na ya Muungano.
  13. C

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    Nakubaliana na wewe kabisa kwa muono wako,nadhani unaungana na kina Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete pamoja na walowahi kuwa magavana wa benki kuu akiwemo Mtei na vile vile kina Sitta,Tundu lisu na wenzake ktk harakati zenu za kuizika znz kabisa ktk ramani ya dunia,na naamini mna agenda za siri sana...
  14. C

    Jimbo la chadema pemba....tume semeni

    GREAT THINKERS?????????????????/// Pemba na CCM NA CHADEMA wapi na wapi? sijaskia hata udiwani kupata chama chengine badala ya CUF pekeeeeeeeeeeeeeee. Tafakari kabla.
  15. C

    CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

    Nashindwa kuamini kama hii ni GREAT THINKERS. UTUMBO MTUPU NA UONGO MTUPU. NDUGU YANGU PROPAGANDA SIO KAMA HUU,BALI HUO NI UTUMBO. Najaribu kuhama JF kidogo kidogo kwa hali kama hizo. lol
  16. C

    Hamad Rashid amuumbua Maalim Seif; agoma kuhojiwa!

    HAMAD RASHID HUYU ALIYEKUWA MGOMVI MKUBWA WA CHADEMA,LEO ANAISIFIA SANA CHADEMA NA KUIPONDA CUF? AU SIE HUYU? AKILI KICHWANI MWAKO. Kwa ufupi H. RASHID kahojiwa na hakuwa na mshiko wowote wa maana mpaka kazidiwa sana,ndipo alipoamua kutoka na kuanza kusema kua hakubaliani na kamati nzima na...
  17. C

    CUF kutoka chama cha upinzani mpaka chama tawala 2015

    Baada ya harakati nyingi za siasa za muda mrefu kwa upande wa znz pamoja na mateso waliyopata viongozi wa Cuf na wanachama wake na wapenzi wake kutoka kwa serikali ya kidikteta ya CCM,sasa inaonekana kama kwamba historia mpya ya znz ikifika mwaka 2015 itaandikwa. Kama Wiki mbili...
  18. C

    Kwa staili hii ya Sabodo naweza kabisa nikaamini CCM na CHADEMA lao ni moja

    UP TO DATE: KADA WA CCM AIFADHILI CHADEMA. Plz! jibu hoja sio kumzungumzia mtu mwengine,hili ni lenu wana chadema na viongozi wenu. sijawahi kuona mwanachama na kada wa chama tawala akifadhili chama cha upinzani. karibu litafumuka hilo. Ukweli unauma
  19. C

    Kwa staili hii ya Sabodo naweza kabisa nikaamini CCM na CHADEMA lao ni moja

    Pamoja na kuwa mimi ni mpinzani na tokea nimepata fahamu zangu nimekuwa upinzani na sikuwahi hata siku moja kukishabikia CCM ktk maisha yangu kwa mengi walotufanyia na nimekua ktk harakati za upinzani kuhakikisha tunaliondoa dudu CCM muda wangu wote,lkn kwa staili hii ya Sabodo kwa kweli inanipa...
  20. C

    Natabiri: Vigogo wa CHADEMA kuhama chama kabla ya 2015

    Ndugu CCM haina haja ya kuitabiri,hicho kinaeleweka wazi,mpaka kaburi tushachimba bado kuifukia tu. Tunachoangalia hivi sasa ni sisi wapinzani tusije tukajikwaa sehemu then tukawapa nafasi haya mafisadi. Hili unaliona dogo lkn hujui athari yake,CCM ndipo wanatumia mwanya sehemu kama hizi...
Back
Top Bottom