Mkuu Kimey, salama lakini!?? Sijui ulikuwa umefichwa wapi wewe!!!
Nipo mkuu majukumu mengi mpaka tunachungulia siku moja moja
hahahaha hebu nipe hiyo ID unayowazia....
Samare rafiki ni kwamba tupo hapa kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale Idi yake vizuri maana amegundua kuna kosa alofanya sasa anjutia! Hebu tupe mchango wako hapa?
hahahaha bi dada nichunu tu jamani za masiku? nipo bada si unajua siku hizi JF ya dot.com tumewaachia lol tumekuja hapa kupa suport ya kuunda tume ya ukweli na maridhiano ili Mbu ale sikukuu vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.