Search results

  1. Zekidon

    Kulazimisha kubakia na chenji

    Kuna mahali huwa napata mlo mara kwa Mara. Nimezoeana na wahudumu wote. Tip huwa nawaachia mara zote. Ila kuna huyu mmoja akiwa zamu nakosa amani kabisa, Huduma ni mbovu halafu anaminyia chenji yangu. Nakwazika kwakua huduma ni mbovu halafu analazimisha kubaki na hela yangu. Wenzake huwa...
  2. Zekidon

    Dar Mvua kidogo tu, watu wanakaa nyumbani na shughuli zinasimama

    Hizi ndio zile ID wamiliki wake jinsia zao haziendani na majina yao.
  3. Zekidon

    Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

    Kidon , Ncha ya Mkuki.
  4. Zekidon

    Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

    Bora kutembea kwa miguu kabisa ila huu usafiri haupendezi mwanaume kabisa kuutumia kama abiria.
  5. Zekidon

    Haipendezi kwa Mwanaume kupanda usafiri wa Boda Boda

    Kwakweli haipendezi kabisa Mwanaume kukamatia boda boda. Mwanamke haina tatizo kabisa. Kwanza vile mnavyokaa tu, inatia mashaka, Bora bajaji au Tax kabisa.
  6. Zekidon

    Cheti cha Kuzaliwa kiwe na option ya 'single parent'

    Watu wanakosea Sana. Kila mtoto anahaki ya kuzaliwa ndani ya familia yenye wazazi wote. Kama hutaki kuzaa usifanye ngono na mtu ambaye huna mpango wa kuwa na future naye.
  7. Zekidon

    Dar Mvua kidogo tu, watu wanakaa nyumbani na shughuli zinasimama

    Duuh mkuu, nimekulia kwenye taasisi ya elimu ya juu. Yaani utoto wangu nimecheza kombolela kwenye lecture halls. Yaani pale ambapo wengi wenu ndio pamewafanya mfike mjini kwa Mara ya kwanza ndiko nilikozaliwa.
  8. Zekidon

    Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

    Huwa nachukia Sana simu za jumamosi na Ijumapili asubuhi. Jumamosi ndio siku yangu ya mapumziko halafu mtu anakupigia analeta mambo yake. Au anakupigia simu ijumapili, ukiwa Ibadani, simu inaita tu. Ilimradi wakusumbue tu. Na simu kuzima huwezi.
  9. Zekidon

    Yanga Omary ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kuuza dawa za kulevya

    Hivi hao matapeli wa madini bado wapo maana wakongo wengi ndio shughuli zao hapa mjini.
  10. Zekidon

    Dar Mvua kidogo tu, watu wanakaa nyumbani na shughuli zinasimama

    Mji wa Dar huwa una maajabu yake mvua zikinyesha. Ikipiga masaa mawili tu. Waliopo majumbani hawatoki tena. Shughuli zinasimama. Foleni kubwa kila mahali. Wapo wanaopata kazi ya kutoa maji ndani. Boda boda na Bajaji wananeemeka.
  11. Zekidon

    Unawezaje kurudiana na X wako?

    Harmonize atakua na majibu mazuri zaidi.
  12. Zekidon

    Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

    Kwa jinsi watu walivyo wavivu wanatamani waambie msiende makazini wiki nzima.
  13. Zekidon

    Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    mkuu ile ulaya unayoiona inangaa vile lile ni jasho letu.
  14. Zekidon

    Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

    kwa kupinga maendeleo yetu, hao watu hawafai kuja kua viongozi wetu baadae.
  15. Zekidon

    Mizengo Pinda: Natamani Katiba ya Tanzania ibadilishwe, ili Rais Magufuli aongezewe muda zaidi

    Binafsi namshauri Mh. Rais, abakie na miaka iliyopo kwenye katiba, ni kweli anafanya vizuri mno, ila aangalie asije haribu kila jema alilolifanya, huo ni mtego, Mh. Rais Shtuka.
  16. Zekidon

    Elia Michael: Kuhusu mimi kushiriki ziara ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa Mwanza

    Mkuu rekebisha kwenye bandiko lako, kilometa 3 haziwezi kuwa na thamani ya Bilioni 600.
  17. Zekidon

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Lakini hata hivyo Zito alikuwa karibu mno na Utawala wa awamu ya NNe, ndio tuseme naye alikuwa anajipendekeza kulinda nafasi yake ya Ubunge??
Back
Top Bottom