Kwa mara ya kwanza nimejisikia huzuni kupita kiasi baada ya matokeo ya urais kutangazwa. Naona ni kama bado tuko kwenye ukoloni fulani vile na wenye koloni lao wameapa kutoliachia huru. Ee Mungu tusaidie.
Nimepitia, iko vizuri. Hope nita invest huko siku za baadae Mungu akipenda. Ila return yake ni ndogo vile iko na low risk....the higher the risk the higher the return. Kama ulivyosema inafaa kwa watu waliopata pesa za mkupuo kama pension au wenye hela nyingi zilizo iddle. Thanks for sharing.
Bongo ipo ila haijabadilishwa tangu mwaka 47. Unaweza kulipa kiasi chochote ili mradi kisiwe chini ta TZS 100 kwa motto mmoja. Kulipa zaidi ni maelewano tu.
Hapa ni either serikali 1 au 3. Tofauti na hapo muungano na ufe. Nape tangu lini ikawa na uchungu na nchi hii? Eti gharama za uendeshaji, mbona huzitaji? Unadhani kila kitu ni propaganda?
Hawa Stanbic hata ukichukua mkopo kwao wanaongeza ongeza riba kila mwezi kisa eti inflation. Ni wezi sana, napigana nipate fungu fasta nikalipe deni lao kwa mkupuo nifunge na account kabisa.
Sasa kama uko hapo hapo Ifakara umeshindwaje kufanya quick analysis ya usalama katika magodown, gharama nyinginezo na hata kujua njia gani utumie kwa ajili ya kupunguza cost za ununuzi, kwa mfano kufata mpunga mashambani badala ya kusubiri huo wa hapo kibaoni. Shughulisha kichwa chako mkuu.
Kwa...
ni bora zingejengwa fly overs kuepusha foleni kwani nyingi zinatokana na kusubiriana kwene mataa kuliko hizi za mabasi yaendayo kazo. Sidhani kama zitapunguza foleni au haya mabasi yatapita hata zikiwaka taa nyekundu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.