Search results

  1. bernardp

    Muswada wa vyama vya siasa ni mwiba kwa upinzani

    Ipo siku watu watatoka na majambia ndipo watakapoacha kutuchezea kama wanavyocheza na midoli.
  2. bernardp

    Bosi mpya Barrick ajipanga kuilipa Tanzania

    Kungekuwa na demokrasia ungeweza kuamua unamtaka kiongozi wa aina gani. Lakini bahati mbaya CCM italeta kiongozi wanayemtaka wao. Kama wewe ni mwanachama wa CCM, ni bora upiganie katiba mpya inayompa mwananchi nguvu ya kuchagua viongozi unaowaona wataweza kuipeleka nchi mahali pazuri zaidi...
  3. bernardp

    Kwanini ni muhimu kwa kijana wa kisasa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)

    CCM NDIO ILIYOWAKOMBOA MABABU ZETU TOKA UTUMWANI Waasisi wa CCM ambayo zamani ilikua ikijulikana kama TANU ndio waliolipatia Uhuru Taifa hili kutoka kwenye makucha ya wakoloni, kijana wa leo unapaswa kutambua historia hii kwmba bila ya CCM/TANU Uhuru usingepatikana ,waasisi wa CCM wakiongozwa...
  4. bernardp

    Do we need Press Freedom that can harm Peace?

    Uhuru wa habari na vyombo vya habari haumaanishi uhuru wa kusambaza habari za uongo. Ni haki ya kila raia kupata habari sahihi zitakazomwezesha kushiriki vyema mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii kwa ustawi wa jamii husika. Wanaokuja na visheria vya kudhibiti na kuzuia uhuru wa habari na wa...
  5. bernardp

    Jiji la Dar lapata Manaibu Meya wawili, wataongoza kwa kupokezana

    CCM watang'ang'ania hata huo unaibu meya. Wana tamaa kama ya fisi.
  6. bernardp

    Namna CHADEMA inavyokufa

    CCM ilishakufa siku nyingi. Udikteta unaweza kujivika chama chochote. CCM haiongozi nchi bali dikteta John Pombe Magufuli. Kama ilivyo kwa Rwanda na Paul Kagame anavyojificha kwenye chama chake na kuitisha chaguzi feki. Hata akina Sadam Hussein na Gadafi walikuwa na vyama walivyovitumia...
  7. bernardp

    Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

    Ndio maana kwa waAfrika neno maendeleo husikika zaidi redioni au kwenye TV. Siku hizi hadi viwanda husikilizwa kwenye redio, TV na majukwaa ya kisiasa.
  8. bernardp

    Namna CHADEMA inavyokufa

    Hii nchi inaandaliwa kuingizwa kwenye machafuko ya lazima na CCM kwa kufikiri CHADEMA ikifa ndipo CCM itapendwa. Kati ya watu wanaostahili kunyongwa hadharani ni wale wanaoshiriki kuua demokrasia na uhuru wa watu kwa tamaa zao za kupora mali za wananchi na kulindana wasiwajibishwe kwa madhambi...
  9. bernardp

    Nchi ya Tanzania imebakiwa na muhimili mmoja tu

    Sheria hutungwa na serikali, wabunge wamebakiwa na kazi ya kuitikia Ndiyoooo
  10. bernardp

    Kenya wamezidisha masharti ya kuingia na gari Kenya wakidai Tanzania nao inasumbua Wakenya kuingia na gari nchini

    Viongozi wa Tanzania ni wajinga. Mnataka mkamate hadi vifaranga vya kenya mchome moto halafu kwao muende bwereree. Roho za umaskini, husuda, na chuki vimewajaa viongozi na wanasiasa wa Tanzania. Badala ya kuiga mambo mazuri ya kenya mfano katiba mpya na chaguzi zilozo huru, sisi...
  11. bernardp

    Hebu ' nishawishini ' na Mimi niamini kwamba Hayati Ghaddafi ndiyo alikuwa akiwatendea vyema Wananchi wake

    Moja ya vigezo vya stability ya nchi ni uwezo wa maendeleo yake kuwa endelevu. Maendeleo yanaanzia kwa watu na yapaswa kumilikiwa na watu. Njia mojawapo kubwa ya kuhakikisha maendeleo yanamilikiwa na watu ni kuwapa elimu inayostahi na uhuru wa kujisimamia. Tatizo la Gadafi alidhani kuwa...
  12. bernardp

    Hebu ' nishawishini ' na Mimi niamini kwamba Hayati Ghaddafi ndiyo alikuwa akiwatendea vyema Wananchi wake

    Kuna watanzania wamejaliwa akili dhaifu sana. Wanawaza ngono, tumbo, na umbea.
  13. bernardp

    Msimlaumu Sana Magufuli - Ubepari Ni Unyama Msisahau

    WATANZANIA TUNA AKILI DHAIFU SANA. Ubepari unasababisha waafrika na waarabu ku-risk kufia kwenye boti ili kufika kwa wanaoishi kibepari. Ubepari unaweza kutoa mazingira bora ya ajira. Mpaka tunaona watu wanafurika wakitaka kuhamia kwenye angalau ajira za kubeba maboksi kuliko huko choka mbaya...
  14. bernardp

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Umma

    Kuna watu wanajua kula nchi jamani. Yaani tangu awamu ya kwanza mtu anakula tu mpaka awamu ya tano hashibi? Au ndio nchi haijapata wenye busara zinazoendana na kukua kwa uchumi na mabadiliko ya zama hizi?
  15. bernardp

    TUCTA yaianika serikali ya CCM ubabe wa kuwaibia watumishi mafao yao

    Tamko halitoi mwelekeo wowote ukiachilia hao TUCTA kujivua lawama. Maandishi mengi pointi moja "KUJIVUA LAWAMA NA KUWAOMBA WAFANYAKAZI MTULIE HUKU MKIENDELEA KUUMIZWA". Tamko halitoi resolution yoyote.
  16. bernardp

    TUCTA yaianika serikali ya CCM ubabe wa kuwaibia watumishi mafao yao

    TUCTA wanakaa vikao, kula posho, na kuendelea kukaa mpaka mfanyakazi anaumizwa ndio wanatoa mrejesho kujivua lawama. Ni nini kiliwashinda kuitisha press kuelezea wanaowalipa maendeleo ya hizo kanuni kabla watu hawajaanza kuumizwa? Kwanini wanahitimisha kwa kuomba wafanyakazi wawe watulivu...
  17. bernardp

    Marais, Mawaziri wakuu wastaafu kutaneni kwa dharula kuna kitu hakipo sawa na mkikaa kimya ni hatari

    Huyo Nyerere wako yalimfika shingoni akajiuzulu. Huwezi kwenda tuuuu kama kichaa asiyepima anakoelekea. Madikteta wote duniani, hata akina Hitler walikuwa wanaambiwa na wapambe wao kuwa kila anayewapinga anatumwa au anataka kuwakwamisha.
  18. bernardp

    World Bank: We are very upset about what's happening in Tanzania...

    Wachina na wa-cuba hawatangulizi ujinga na ushamba kama unavyofikiri. Uvivu, wivu, uzandiki, unafiki, kuhujumu anayefqnikiwa, kulazimisha watu wawe wajinga, nk havijawahi kumsaidia binadamu kufanikiwa. Hii nchi ilipata uhuru kipindi kimoja na hao China na Cuba, wakati wenye akili zao...
  19. bernardp

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    CCM ndio chanzo cha tatizo kuu la kufeli kwa kila kitu nchini. Acheni kuwasingizia TRA. TRA wao ni watekelezaji tu wa amri na sera za CCM.
Back
Top Bottom