Search results

  1. newmzalendo

    Dodoma Bei ya viwanja-Ilazo

    Nilishafanikiwa kupata kiwanja ilazo Extension kwa bei ya kizalendo.
  2. newmzalendo

    TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

    Legendary Head Master wa JKT Mgulani
  3. newmzalendo

    Uchaguzi 2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    tunachosahau wasanii Hawaji bure kwa mapenzi yao, wao wamekuja kikazi na kimaslahi ,Hapo waandaji wamepiga pesa na ikiwezekana PCCB itupie jicho. Msimu wa kupiga pesa huu.2015 wapo waliojenga nyumba na hawakuwahi tarajia hivyo kipato. baada tu yakampeni
  4. newmzalendo

    Nafasi ya Kazi : Declaration Clerk Clearing and Forwading

    Job Position : Declaration Clark in a Clearing and Forwarding Company Location : City Center, Daresaalaam Qualification : Form IV Certificate and Clearing and Forwarding Certificate Gender : Female send CV to email : careers@dnh.co.tz
  5. newmzalendo

    Natafuta kazi ya clearing and forwarding

    intere interesting suggestion :)
  6. newmzalendo

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Mkuu message inbox yako haipokei, nitumie phone contact ktk inbox yangu
  7. newmzalendo

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Asante ,naomba reference nimtembelee,niliingia plant nika ambulia 00
  8. newmzalendo

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    duh! anasaga mifuko mingapi per day, na anaopoa kila baada ya muda gani? ninmevutiwa kujifunza, kwani nataamani kongeza nguvu ktk mwalo. Na lundo la mwezi anauzaje?
  9. newmzalendo

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Mkuu fafanua hapa ktk Crusher ,ndugu yako akianza 14th kazi anauza 14 july hii ni baada ya muda gani anauza lundo, na mgodi/maeneo yapi?
  10. newmzalendo

    Biashara ya duka la aluminium

    Hii kwa anayetaka kuuza, nadhani anazumzia waunda vitu vya alminium na vioo
  11. newmzalendo

    Utafanyia nini Banda la Chuma Imara la futi 7x7?

    Weka Choo cha kulipia, maeneo ya kariakoo au stand za mabasi.
  12. newmzalendo

    Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    It can be done ila kazi ya kuuza chakula si lelemama kama inavyoandikwa , kuuza chakula si kuuza duka. Unauza "Service" ya upishi, hapo lazima uwe mvumilivu na kauli nzuri muda wote.
  13. newmzalendo

    Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

    Nenda kanisani ,ukajitolee.Baada ya miezi 3 utapata jibu positive
  14. newmzalendo

    Tunatoa huduma ya Massage, tupo Kinondoni Morocco

    Ongeza na Huduma ya Nyunguuuu, massage na Nyungu wateja watamiminika.Ulaya hasa nchi za Baridi kuna Nyungu inaitwa Sauna Aromatherapy .kwa kipindi hiki wateja watakuja zaidi
  15. newmzalendo

    Baada ya Pigo la COVID-19: Muda wa Kujipanga Upya

    *THE BIG PICTURE IN LOCKDOWN* If you have been working for a company for more than 5yrs and you don't have savings ... *You need to think* If you have been doing a particular hustle for more than 5yrs and nothing to show for it.. *You need to think.* If you've spent one month at home under...
  16. newmzalendo

    Tupeni mrejesho mliowekeza kwenye mashamba ya miti

    Malila. Habari Mkuu!! wachina utomvu wanaufanyia kitu gani? Je wanaupeleka China?
  17. newmzalendo

    Uingereza imepigwa mkwara na kutikiswa, Tanzania itaweza?

    ITs all about new world order. Tanzania ya awamu hii inauwezo mkubwa sana ya kuiinua kiuchumi nchi yetu kuliko awamu zote zilizopita. kinachotakiwa ni Mh.Raisi kuendelea kuchutama ndani ya IKULU mpaka kieleweke. hii Nchi imebarikiwa sana na rasilimali na ndio sababu kila kukicha hawaishi...
  18. newmzalendo

    Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

    Dini na viongozi wa Dini wanatumia maandiko kukidhi haja za mioyo yao. ukichunguza kwa undani Resources/Pesa huwa ni chanzo kikubwa sana. Sasa hivi makanisa ya kiroho/pentekoste yameshamiri sana Africa. nyuma ya pazia ni makusanyo na changizo za kifedha
  19. newmzalendo

    SOFTWARE Usimamizi wa Mauzo Kwenye Biashara

    Inaweza kuunga na Mobile POS?Kwa ajili ya Restaurant, kuna mteja yupo, ni PM
Back
Top Bottom