Search results

  1. Pilimi

    Chato: Rais Magufuli ampokea Rais Museveni wa Uganda

    Rais kama yupo likizo madhani hata hiyo ziara ni binafsi TBC hawakustahili kuonyesha live kwani ni ziara binafsi si ya kikazi...
  2. Pilimi

    Rais Magufuli kuanza ziara mkoani Iringa

    Akitoka Iringa anakwenda Dom kupitia Mtera na baada ya hapo anaweza kwenda Moro kupitia Dumila.
  3. Pilimi

    Najivunia kuwa mpinzani na mwanachama wa CHADEMA hasa katika magumu haya!

    Naona NEC wansema waitara kashinda ukonga kwa kura 77,456 na Asia wa chadema kapata 8,753...Naomba mwenye matokeo ya watara aliyopata mwaka 2015 ukilinganisha na ya jerry slaa...maana jana kuliripotiwa kama wapiga kura hawakuwa wengi ukilinganisha na mwaka 2015.
  4. Pilimi

    Agenda ya ajira Juni 30 imefutika kabisa

    Hapa kazi tu
  5. Pilimi

    Kamanda Mambosasa: Waliovamia na kuwapiga raia Ukonga Mombasa ni wahuni wanaojiita kuwa ni Askari Polisi

    Ila tuache utani,kwa maelezo ya wananchi wa maeneo hayo watu walikula kichapo sana,kwani kila aliyekuwa anashuka kwenye daladala maeneo hayo ni kichapo,hata mkiwa watu wawili na kuendelea kichapo..Cha msingi ni kujua source ya huyo askari kuuwawa...Lakini huwezi pata muuaji kwa kupiga kila raia...
  6. Pilimi

    Wasiwasi wangu: Wananchi wasije wakaamua nao kulipiza kisasi kwa Polisi huku Mitaani tunakoishi nao

    Ila kwa jinsi nilivyosikia jana watu wamekula kichapo kuanzia ukonga-Mombasa,mzamabrauni na gongo la mboto stand.Polisi walikuwa wengi wakitembezi kichapo kwa raia.Nasikia kuna polisi aliuwawa juzi maeneo hayo sina uhakika.Mwenye taarifa kamili wa tukio hilo atujuze..
  7. Pilimi

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Naona mjadala ungeanzia huku, nadhani katika hela yoyote unayonunua luku au umeme kuna hii percentage ya EWURA 1% kwa mnunuaji yeyote wa umeme inakwenda ewura.nadhani jpm aondoe hizo unit 700 kwa staff wa tanesco na hiyo 1% ya EWURA azitoe ili twende sawa.
  8. Pilimi

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Yah ni kweli kwa wafanyakazi wote wa tanesco nchi nzima wanapewa unit 700 kwa shs 10,000 kila mwezi.
  9. Pilimi

    Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    Ina maana kesi haijaanza kusikilizwa bado ni swala la dhamana tu au?Maana unaotumika ni mrefu sana.kama swala la dhamana linachukuwa almost miezi miwili. kesi sijui itakuwaje sijui kwa kutehlgeana kwenye vifungu vya sheria.
  10. Pilimi

    Bar hii huku Pugu Majohe-Kwa Mtumbo imekuwa kero

    Habari wana JF wote,kwa wale tunaoishi Majohe jirani na kwa mtumbo njiani kuelekea chuo rada,kuna bar moja inaitwa southern park,hiyo bar wanapiga disko siku zote saba za week,yaani jumatatu mpaka jumapili kuanzia saa kumi jioni hadi kunakucha.Ni kero kwa majirani lakini serikali ya mtaa ipo...
  11. Pilimi

    Kupaka rangi za ruti: UDA na SUMATRA nani mbabe?

    Hapana,ni tiketi ya usafiri Dar es salaam.
  12. Pilimi

    Kupaka rangi za ruti: UDA na SUMATRA nani mbabe?

    Wana JF,naomba kuuliza kati ya SUMATRA na UDA nani anasimamia sheria za usafiri nchi hii? Maana ni matamko mengi sana yaetolewa na SUMATRA kuhusu kupaka rangi za route zao katika hizo UDA lakini hadi leo hakuna kitu.Cha ajabu zaidi leo nimepanda UDA kutoka Gongo la Mboto-Ubungo konda anatoa...
  13. Pilimi

    Jicho letu ndani ya habari leo

    Duh,huyu moses havai kuwepo kwenye mijadala.anatia kichefuchefu
  14. Pilimi

    Wabunge wanaume kushukuru wake zao,wakati sijawahi kusikia wabunge wanawake wakiwashukuru waume zao

    Wana JF, Mbona sijawahi kusikia wabunge wanawake wakiwashukuru waume zao wakati wa kuchangia hoja zao katika mijadala inayo endelea mjengoni Dodoma bali wabunge wanaume ndo hufanya hivyo?Je inamaanisha nini? Hadi kuna spika Makinda akawaambia wawe wanashukuru huku nyumbani kabla ya kuingia...
  15. Pilimi

    Kosa la Tume ya Mabadiliko ni Kikiuka Sheria na Hadidu za rejea

    Yaani ccm wengi ni vilaza,wameshupalia takwimu huku matumizi ya takwimu hawajui.matatizo yao ni kwamba wamekaririshwa.
  16. Pilimi

    Kosa la Tume ya Mabadiliko ni Kikiuka Sheria na Hadidu za rejea

    Ni kweli hakuna sehemu iliyosema muungano hakuna au uvunjwe.....
  17. Pilimi

    Kosa la Tume ya Mabadiliko ni Kikiuka Sheria na Hadidu za rejea

    Soma vizuri rasimu,inasema kutakuwa na jamhuri ya muungano.....then muundo ndoo ni wa shirikisho wenye serikali tatu.. 1..serikali ya jamhuri ya mungano 2..serikali ya mapinduzi ya zanzibar 3..serikali ya tanganyika Hapo vipi?
  18. Pilimi

    Kosa la Tume ya Mabadiliko ni Kikiuka Sheria na Hadidu za rejea

    Rasimu inasema hivi .... sura ya sita - 24 - SURA YA SITA M UUN DO WA J AMHURI YA M UUNGANO Muundo wa Muungano . 60 . - (1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa na muundo wa shirikisho l enye serikali tatu ambazo ni: (a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano; (b) Serikali ya Mapinduzi ya...
  19. Pilimi

    Kosa la Tume ya Mabadiliko ni Kikiuka Sheria na Hadidu za rejea

    Mleta mada hebu tuamabia hapo kwenye nyekundu,ni kipi tume imefuta katika rasimu hii ya pili? kama sio na wewe unatumika na hao ccmmmmmm... wanaokalilishwa bilA Kutumia japo akili yao ndogo walionayo......
Back
Top Bottom