Search results

  1. Mgombezi

    Anahitajika sana - quality controller

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=127331&stc=1 Pamoja na nafasi nyinginezo, lakini anahitajika QUALITY CONTROLLER kwa haraka sana. SIFA: Experience on Quality Control (Steel Pipes welding and coating, conrete, re-bar, etc)
  2. Mgombezi

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    HUDUMA BORA KWA MTEJA ni ngaja la kitaifa katika kuinua uchumi wa ndani, biashara nyingi zinazoendeshwa na sisi watz hazina mazingira rafiki kwa wateja wake; tunahitaji mabadiliko makubwa katika mfumo wa uendeshaji biashara zetu, vinginevyo tutabaki kulalamika kwamba wawekezaji kutoka nje...
  3. Mgombezi

    Utalii wa ndani - kuhusu Mwanza....?

    UTALII WA NDANI, KUHUSU MWANZA.....??? Naomba kufahamu sehemu za kutembelea (sight seen) MJINI MWANZA, zikiwemo sehemu zenye vivutio, historia, chakula; vile vile sehemu za malazi. Mliopo MWANZA fungukeni.......!!!
  4. Mgombezi

    Msaada - Gharama za kukodi Bull Dozer kwa Dar

    Nashukuru na nitafanya mawasiliano, angalau hapa nimepata option ya saa na siku.
  5. Mgombezi

    Msaada - Gharama za kukodi Bull Dozer kwa Dar

    Wana JF; nahitaji kukodi bull dozer kwa ajili ya kuvungja msitu maeneo ya kisarawe, kwa yeyote anayefahamu kampuni au mtu ambaye anakodisha mashine hii na gharama zake kwa siku au saa. Natanguliza shukrani
  6. Mgombezi

    Natafuta kazi ya hotel management.

    Huyo unayemtafutia kazi hayuko tayari na kazi; unapoteza muda wako. Nimempigia simu na kumwambia kuna kazi hapa dodoma, tunahitaji housekeeper ambaye amfanya hotel management na mshahara wa kuanzia ni Tsh. 200,000/= (malazi na chakula bure), ameonekana hayuko tayari. hakuna sababu ya mtu kuweka...
  7. Mgombezi

    Nafasi ya kazi - house keeping

    Hakuna kufyeka, wala kufungua geti; yupo gardener anayefanya kazi hiyo. Accommodation ipo.
  8. Mgombezi

    Natafuta kazi ya hotel management.

    Kweli haya maswala ya mtafuata kazi na mwenye kazi yanatuchanganya sana hapa bongo; yaani mimi natafuta mtu mwenye sifa hizo kwa takribani wiki mbili bila mafanikio. Nimegundua tatizo kubwa tulilonalo kwa vijana wetu hawana uwezo wa kufanya hizo kazi wanazotafuta. Natafuta mtu wa kuhudumia...
  9. Mgombezi

    Nafasi ya kazi - house keeping

    Inamaana vyote (housekeeping + Chef); haya wewe ni housekeeping au chef?
  10. Mgombezi

    Nafasi ya kazi - house keeping

    NAFASI YA KAZI: HOUSE KEEPING Mahali: Dodoma Mjini Sifa: Awe na uwezo wa kupika (chef), Awe na uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza. NB: Nafasi ya upendeleo kwa yule aliyepitia masomo ya hotel management (house keeping + chef). Big deal kwa mwenye uwezo wa kuongea...
  11. Mgombezi

    Gari linahitajika - toyota landcruiser au nissan patrol

    Gari la kununua linahitajika (5 doors): Toyota Landcruiser 4WD (Prado, VX, GX, etc) or Nissan Patrol Weka Picha hapa na specification; kwa maelezo zaidi - call 0714 460528, 0757 941044 Tukikubaliana utahitajika kulisafirisha gari mpaka Dodoma.
  12. Mgombezi

    Wazo la biashara

    Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana katika ustawi wa jamii yetu; mfumo wetu wa elimu hautuandai katika kujitegemea na badala yake unaelekeza sana kuajiriwa. Kulingana na tatizo hili tumeanzisha programu ya kusaidia watu kuanzisha na kuendeleza biashara ambapo kwa majaribio tunaanza mkoani Dodoma...
  13. Mgombezi

    Msaada wa biashara

    Uko wapi....???
  14. Mgombezi

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    YOHANA 9:1-25 1. Yesu alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. 2 Wanafunzi Wake wakamwuliza, “Rabi, ni nani aliyetenda dhambi, ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?’’ 3 Yesu akawajibu, “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za...
  15. Mgombezi

    Tetesi: Ufugaji wa kuku kwa mkataba

    Nashukuru mkuu Kishalu; kama unataarifa zaidi basi wasilisha mkuu ikiwa pamoja na contact.
  16. Mgombezi

    Tetesi: Ufugaji wa kuku kwa mkataba

    Inwezekana mkuu, maana na mimi nimecopy somewhere; popote pale ambapo hao jamaa wanaweza kuwepo itakuwa vyema tukifahamishana.
  17. Mgombezi

    Tetesi: Ufugaji wa kuku kwa mkataba

    habari zenu wapendwa, nasikia mitaa ya samaki - Dar kuna wazungu huwa wanauza vifaranga vya kuku ila kwa mwanzo wanakuja kuangalia mabanda yako kisha kwa mara ya kwanza wanakupa vifaranga bure na wakikuwa wananunua wenyewe ili mfugo wa pili ukanunue kwao, yaani kama wanafanya "PROMOTION FULANI"...
  18. Mgombezi

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Usimwache mke wako, kumbuka ulikula kiapo kwa shida na raha; muhimu kutambua kwamba mwanadamu yeyote anaweza kubadilika na kuwa tofauti na alivyokuwa au ulivyotarajia. Jambo la msingi usitake kushindana nae, mpe uhuru wake; jitahidi kukaa kimya, unapokaa kimya atashindwa kuelewa nini mtazamo...
Back
Top Bottom