Search results

  1. A M. Lyimo

    Nauza pikipiki aina ya fekon

    Nipo goba kwa ndambi. Nimeinunua tarehe 30/11/2013. Nikaitumia kibiashara kwa miezi 3 kisha nikaipaki tu ndani. Mwezi huu mwanzoni nikampa kijana mwingine akaanza longo longo sasa biashara imenishinda. Naiuza kwa shilingi za kitanzania 1,300,000/= mwenye kuihitaji awasasiliane na mimi kwa namba...
  2. A M. Lyimo

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Mbona bila bila mpaka leo, hivi tarehe 11/08 amna aliyezaliwa ambaye ni member wa JF
  3. A M. Lyimo

    Posta nendeni wenye moyo tu.

    Ukiwa busy kusaka manoti uwezi kutambuwa kama kuna wanawake wazuri au wabaya. Mimi kila siku nipo posta naona wanawake ni walewale tu. Kama wewe ngono ndilo kitu kilicho kuwepo kwenye akili yako, ndio maana unawaona. Na usione vyang'ara vimegaramiwa au kujigaramia. Na siyo vyote ving'avyo ni...
  4. A M. Lyimo

    Ushauri!! Je ni Rahisi kwa msichana aliyezoea kufanya mapenzi, kutofanya mapenzi kwa kipindi kirefu.

    Kijana kama unaitaji sex, tafuta mke. Acha kufanya hili la free sex. Msichana hana mkataba wowote na wewe.
  5. A M. Lyimo

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hii Tarehe 11/08 inaelekea nipo peke yangu tu. Sijampata pacha wangu up to now. Let me wait may be atapatikana.
  6. A M. Lyimo

    Garage party paty Four, Wanawake siyo tu ndio wenye matatizo katika mahusiano.

    Me thinks women are designed to turn things upside down. So I dont get upset when I see em screw up cos its part of their nature. Right from time immemorial
  7. A M. Lyimo

    Utegemezi wa wasichana wengi wa kibongo ni kwa sababu ya umasikini au kujisikia hivyo?

    Kujisikia hivyo nafikiri. Wasichana wengi wanaamini jukumu la matunzo yao ni kwa yule anaye date naye. Rafiki yangu moja yupo kwenye situation kama hii. Binafsi, nafikiri msichana aliyopo kwenye mahusiano ni vyema ajigharamie yeye mwenyewe unless boy friend wake aamue kumsupport inapobidi kwa...
  8. A M. Lyimo

    Jumuiya ya watu wa Chemba zamani Kondoa Kusini

    Waishio Dar es Salaam na Pwani. Inakufahamisha mkutano wa wanachama wote na ambao bado awajawa wanachama waje wajiunge. Mkutano utafanyika tarehe 05/01/2014, Siku ya jumapili, Moshi hotel, Mazense tip top. Mkutano utaanza saa 8 kamili mchana mpaka saa 11 jioni. Ukisoma ujumbe huu, mfahamishe...
  9. A M. Lyimo

    Ninataka kumwambia mpenzi wangu ukweli, naombeni ushauri.

    You know, you don't win heart's love through lies. She will find out sooner or later. The truth will find itself out of the bag you keep it. I'l advice you to do this, on the day you will tell her, make sure nobody is with you. Prostrate to tell her the truth, sincerely and ask for her...
  10. A M. Lyimo

    Loohh!!!! Huyu binti kwa kweli majanga majanga.

    She's still very young...just ignore her, take her like a sister and call her to order! It won't make sense if you take advantage of this young gal. She's just 17. I know is tempting but you just have to put an end to her madness and make her stop maybe you should invite your babe more often.
  11. A M. Lyimo

    Nafikiri Maisha ni Unfair To Women, Vijana tunatakiwa tuwe wakweli

    There is more to a complete woman than money can buy
  12. A M. Lyimo

    Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

    Kwangu mimi, 1- Lazima anipende (muhimu sana kwangu) 2- Awe na elimu pamoja na uelewa wa kutosha 3- Awe mchangamfu 4- Awe na huruma/kujali 5- Lazima ajue kupika. (Kupika chakula iwe hobby yake) kwamtoro
  13. A M. Lyimo

    Mume wa mtu kuwa na kimada ni upumbafu mkubwa

    Wanasayansi wamethibitisha kwamba wanaume wengi walio kwenye ndoa awana furaha. Siyo kwa sababu ya ukorofi wa wake zao au upungufu wa pesa. Ndoa inaonekana kama paradise lakini wanaume wanapenda uhuru. Kwa nini wanaume wanaoa? Ni kwa sababu ya unyonge inawapelekea kutafuta company ku satisfy...
Back
Top Bottom