Search results

  1. kindili kindili

    Project Manager at VSO

    afu hili tangazo limerudiwa tena.
  2. kindili kindili

    Nafasi ya kazi kutoka Fair Competition Commission

    hy kipengele cha tatu, ni kwamba muombaji awe tayari ni mwajiriwa? kwenye FCC
  3. kindili kindili

    Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    mimi pia mwalimu, nmepata bahat tangu nimeanza kazi nmekuwa international schools, sio English mediums, I mean international schools, huku mshahara ulikua mnono sana. Kwa sasa covid imetuweka benchi ila ndio uzembe wa kutegemea salary kwa kila kitu sasa nahangaika na maisha, as walivyosema hapo...
  4. kindili kindili

    Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Hapa ndio napoona walakini! wazungu wamepona wanakula tu dola zao!
  5. kindili kindili

    Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Naandika kwa niaba ya rafiki: Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani. Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
  6. kindili kindili

    ANAYEFAHAMU COURSE YA BACHELOR OF EDUCATION INA DISTANCE LEARNING

    Jaribu open university degree zao nyingi ni distance.
  7. kindili kindili

    Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

    Mtoa Uzi huu umetisha sana.. na mi nataka kuja Ujerumani intake ya spring.
  8. kindili kindili

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Uzi mzuri mliko ulaya tuambieni basi- wakati naanza mchakato wa kukimbia TZ natakiwa kuwa na angalau na bajet sh ngapi
  9. kindili kindili

    Tunaohangaika kwenda nchi za watu kusaka maisha tukutane hapa!(Kusoma au kazi)

    Najua kabisa kama mimi watakuwepo wengi tu, tunaohangaika kwenda kujaribu life nje ya nchi. Katika pita pita zangu nmekutana na makampuni yanayosaidia kupata scholaship(Moja kati ya njia ya kwenda huko) kama zifuatazo: Bero Tanzania hawa wanakusaidia kupata scholaship China na bei zao sio mbaya...
  10. kindili kindili

    Receptionist anahitajika

    Nishakuja inbox haureply bob, nilikua tayari kuja leo leo na niko tayar bado
  11. kindili kindili

    Receptionist anahitajika

    nmeshakuja inbox- na natoka hapa ndugu yangu.
  12. kindili kindili

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    majomando tangu wamalize kozi walichofanyia elimu yao ni kupasuliana matofali
  13. kindili kindili

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    hahaha hahaha hahaha haha nenedni urusi mkawaonyeshe matofali ...hahahaha
  14. kindili kindili

    Nape Nnauye: Nikisema haya naonekana Mkorofi

    huyu jamaa akome tu....
  15. kindili kindili

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    hhaha huko bandarini atakuta watu wana scroll Nape Bashite hahahahaha hahaha hii nchi iko ukingoni
  16. kindili kindili

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    kwan naye alitaka kuongea nn? kutumbuliwa kulikuwepo hiki kilikua chambo tu
  17. kindili kindili

    Ni shujaa wa taifa! Kinyago uchonge mwenyewe halafu kinakutisha? Just do the needful!

    hahahah hahahha hahhaha hahhah hahhaha hahahh asio kama nmefurafi, nimesikitika
  18. kindili kindili

    Fundi nguo/cherehani anahitajika

    nawasiliana nae..asante sana mkuu
  19. kindili kindili

    Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

    hii mashine bado ipo? naamin imeshuka bei, naomba nije nione ..niko dar
Back
Top Bottom