Search results

  1. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    Nilikunywa antibiotics sizikumbuki ila maji mengi sana pia yalinisaidia na pia ilikuwa hainekani tatizo ni nini nikaanza kunywa bia mkojo ukawa unatoka mweupe basi ikaishia hapo. Na pia Muhimu kumuomba Mungu
  2. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    Mkuuu hiyo cancer inaweza mpa hofu
  3. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    Nilipona ila haikuwa kichocho
  4. Prince Akeem

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Wakuu nina shida 1. Sikumbuki kituo cha kupigia kura 2. Kitambulisho kimepotea 3. Namba ya kitambulisho siikumbuki Na ninataka kupiga kura
  5. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    kama ni michubuko dawa yake ni nin?
  6. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    nimeanza tumia alhamisi jioni na ijumaa asubuhi ila ilikuwa single dozi
  7. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    kuna dawa nimepewa na kichocho pia. huwa inachukua muda gani damu kuisha kaka?
  8. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    thanks kaka nilienda sanitas n
  9. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    poa ngoja nikomae na majiii
  10. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    ilitoka kama siku ngapi na ilikuwa nyingi mfululizo au matone au wakati wa kuanza kukojoa au wakati wa kumaliza kukojoa?
  11. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    hukutumia dawa yoyote kaka maana nimepewa dawa ila naona bado zonatoka toka sasa sijui nafanyaje na nimepima vipimo vingi mnoo
  12. Prince Akeem

    Nina tatizo la kukojoa damu

    Wakuu zaa saa hizi nimepimwa figo, kibofu ini ila vyote havina shida kwa mujibu wa ct scan wakapima mkojo pia hauna shida ila sasa ninakojoa damu siku ya tatu. Naombeni msaaada kama kuna mtu ashapata hii shida
  13. Prince Akeem

    Ngalawa hotel and resort

    Asante sana kaka. Ubarikiwe
  14. Prince Akeem

    Ngalawa hotel and resort

    Nilipata vumbi
  15. Prince Akeem

    Ngalawa hotel and resort

    Asante kwa ushauri
  16. Prince Akeem

    Ngalawa hotel and resort

    Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar. Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
Back
Top Bottom