Search results

  1. Gamlemilwe

    Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  2. Gamlemilwe

    Azam wababaishaji: Kabla ya Kutangaza kuonesha mechi ya EPL ilipaswa wajipange kwanza.

    Azam TV walitutangazi a kwamba wataonesha mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) mchezo kati ya Chelsea na Sheffield United lakini cha ajabu mda mfupi mchezo unapotaajia kuanza wakakata matangazo na baada ya muda wakarudisha. Nadhani wajipange kwanza kabla ya kutangaza kwa mbwembwe kumbe hakuna kitu.
  3. Gamlemilwe

    Tunakoelekea watumishi kujiendeleza kielimu(regular classes) itakuwa ni suala la kujitoa muhanga

    Umeshikilia kwenye kipengele cha dunia lakini hujaziona hoja zingine nilizoeleza? au kwingine kote umeelewa isipokuwa kipengele hicho? Mfano hoja yangu kwamba kufundishwa darasani sio kigezo pekee cha kuelewa na kufaulu, bali hata kwa namna nyingine ya kutafuta maarifa.
  4. Gamlemilwe

    Tunakoelekea watumishi kujiendeleza kielimu(regular classes) itakuwa ni suala la kujitoa muhanga

    Huwezi kupingana na mabadiliko ya Dunia, kupata cheti ina maana kwamba ulifanya mitihani ya masomo husika ukafaulu ndipo ukapata cheti. Kufaulu mtihani au kupata uelewa wa kitu chochote sio lazima ufundishwe na mtu bali hata kwa kujisomea wewe mwenye kutoka katika vyanzo mbalimbali. SO...
  5. Gamlemilwe

    Hivi mtu unapokuwa mgonjwa na hujaruhusiwa kutoka hospitalini au kuendelea na majukumu yako,kisheria unatakiwa kufanya jambo lolote la kiofisi?

    Umeandika maelezo marefu na mazuri nilidhani unazungumzia suala la kiutumishi wa Umma nikajiandaa kuelezea facts kwa mujibu wa utumishi wa Umma. Lakini mwishoni naona umemalizia na habari za Tundu Lissu nikaona nikae kimya maana masuala ya kibunge/siasa hayaendani na Utumishi wa Umma. Basi kwa...
  6. Gamlemilwe

    Uzi maalum wa kuandika Kiswahili cha Kongo na lugha za Kongo

    Kuna umuhimu wakati wa kujiunga JF tuwe tunaambatisha vyeti vya kuzaliwa, maana naona wimbi la watoto wa primary kujiunga JF linaongezeka. Hawa ndio great thinkers.
  7. Gamlemilwe

    Vipi kuhusu zile ajira za kuhamia UDSM?

    Huo ni uhamisho na sio ajira mpya. So zitafuatwa taratibu za Utumishi wa umma katika kushughulikia uhamisho ikiwa ni pamoja na kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi then itatumwa barua yako ya uhamisho na itatakiwa kupitishwa na mwajiri wa sasa ndipp utaondoka. Vuta subira.
  8. Gamlemilwe

    NAFASI ZA INTERNSHIP COCA-COLA KWANZA

    Unatafuta uzoefu wa kazi au kipato? Internship sio ajira bali ni kujitolea. Kama huwezi baki nyumbani ulale.
  9. Gamlemilwe

    Chuo

    Anazo D 4? Nadhani ndio qualification.
  10. Gamlemilwe

    Ofisi ya rasilimali watu vs procurement ofisi

    Matatizo yaliyokukuta wewe katika taasisi yako unayafaunayafalnya kuwa matatizo ya taasisi zote. Tuoneshe Utafiti ulioufanya hadi kufikia hitimisho hilo na je ulichukua sample ya Taasisi ngapi?
  11. Gamlemilwe

    Naomba msaada wa kuandika CV

    Elimu yako?
  12. Gamlemilwe

    Kuhusu database ya utumishi

    Wewe mbishi watu kibao ambao waliwekwa reserve katika database wanapigiwa simu wakafuate barua zao na hawakutoka kwenye orodha yoyote. Jamaa naona kajaribu kukuelekeza humuelewi.
  13. Gamlemilwe

    Nawezaje kupata kioo cha Simu Samsung?

    [emoji3] [emoji3] nimejaribu kucheki mtandaoni wanauza kati ya elfu 35 na elfu 50., sasa kwa kiasi hicho hata tecno hupati.
  14. Gamlemilwe

    Nawezaje kupata kioo cha Simu Samsung?

    Kweli nimeona ni cheap lakini sina utaalamu/mazoea ya kuagiza Aliexpress.
  15. Gamlemilwe

    Nawezaje kupata kioo cha Simu Samsung?

    Ninatafuta kioo cha simu Samsung Galaxy GT-N7000
  16. Gamlemilwe

    Arsenal vs Chelsea

    umekaa wewe sasa
Back
Top Bottom