Search results

  1. Rabin

    Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

    Hii route ilianza kipindi fulani, ilitangazwa na LATRA, naona kuna changamoto labda ndiyo maana mabasi hayaonekani
  2. Rabin

    Msaada Tafadhali

    Kwa yeyote anayejua zilipo ofisi za makampuni haya, tafadhali naomba msaada wa kuelekezwa au mawasiliano yao. 1. Arab contractors, walioshinda tenda ya stiglers George 2. GS Engineering, walioshinda tenda ya selander bridge Tafafhali sana kwa atakayewiwa anicheck kwa WhatsApp/ call +255 655...
  3. Rabin

    Hivi ndivyo Dawa za Kulevya zilivyomnufaisha Makonda ndani ya kipindi kifupi tu

    Mtoa post unajitahidi kupotosha lakini bado sana, Daudi Bashite anatumia lugha hiyo hiyo kujitetea eti wanaompinga na kukosoa kwa tabia zake na matukio yake ni wahusika wa madawa ya kulevya, upuuzi mkubwa huu, kwa hiyo afanye anavyotaka?? kila analofanya yeye eti anapamabana na madawa ya...
  4. Rabin

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Baada ya kutafakari kwa kina mwenendo mzima wa siasa za kiafrika nimejifunza machache sana yanayojenga lakini yaliyo mengi ni upumbavu na upuuzi tu ambao una halalisha watu wengine hasa wazungu kutudharau, Siasa za visasi, majungu, sifa, unoko, umbeya, kujipendekeza na kuwafanya unaowaongoza...
  5. Rabin

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Bado hujanishawishi kabisa mkuu
  6. Rabin

    Sakata la usafirishaji tumbili: Waziri Maghembe awasimamisha kazi wakurugenzi wanne Maliasili

    Uchunguzi wa nini tenaaa, ushahidi upo wakaeleze mahakamani wamsafirisha mara ngapi na watajane wahukumiwe tuu
  7. Rabin

    Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

    umenichekesha sana mkuu
  8. Rabin

    Kisiwani Pemba hali yazidi kuchafuka: Polisi na Majeshi yazidi kumiminika

    Tuombe Mungu Trump Donald aingie ikulu atawaweza hawa
  9. Rabin

    Heshima ya CPA holder ma Masters inashuka sana.. Nini kifanyike?

    Umemjibu vizuri sana mkuu, ndivyo walivyo vijana wengi, na huwa wanaanza kupeleka majungu kwa ma director ili kuwachonganisha na mabosi wao, nawachukia sana vijana wa namna hii
  10. Rabin

    Mtangazaji wa ITV Farhia Middle mwenye number yake!

    ha ha ha umenichekesha sana
  11. Rabin

    Rais Magufuli kuwatema Wakuu 20 wa Mikoa nchini

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa aondoke tu maana hakuna namna, sijui JK alitumia vigezo gani maana ni mzigo, haiwezekani mkoa unaozalisha mazao ya chakula kwa wingi unaweka mkuu wa mkoa legelege!!!!! hii ni nini??? huoni hata siku moja akisistiza kilimo? anaonekana wakati wa ziara za viongozi wakuu...
  12. Rabin

    Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Dah!!! hii nchi ya kipumabavu sana, atatoaje HATI ya Rais bila idhini ya Rais? ina maana kama hati inatolewa na Rais pekee, Nyalandu aliitoaje bila JK kuisaini? huu ni uozo wa JK tu!! yaani huyu JK ilitakiwa apigwe mawe hadharani
  13. Rabin

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    SAFI SANA SIKU HIZI KWETU BUNJU KUMETULIA SANA, ZILE BODABODA ZILIZOKUWA ZINABEBA SUKARI NA MAFUTA NA KUKIMBIA SPIDI KUBWA HATUZIONI KABISA, KAZI NZURI
  14. Rabin

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Ungejibu kwa hoja kisha utoe reference hiyo post kukazia hoja yako, siyo kupinga tu bila hoja
  15. Rabin

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Hahaha nimecheka sana, JF ina watu.....
  16. Rabin

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    Umenena maneno mazitio na muhimu sana katika maisha ya binadamu
  17. Rabin

    Bima ya Afya NHIF mbona hivyo?

    Sasa mfuko gani wa bima ya afya mzuri? toeni ushauri basi
  18. Rabin

    Mchungaji akutwa akizini na binti wa kaka yake

    Shetani anasingiziwa mambo mengi sana, sidhani kama kila kosa ni shetani kwa dunia hii chafu ya leo
  19. Rabin

    Waswahili na utumwa wa simu za mkononi

    Ni kweli kabisa mkuu, sasa kama Albert Einstein aliliona hili miaka hiyo, sasa hivi hali imekuwa mbaya zaidi, sijui tuendako
  20. Rabin

    Waswahili na utumwa wa simu za mkononi

    Uzi umeandikwa kaka headphones haikuzuii kuusoma, au na wewe umesha kuwa addicted na hivyo vitu.
Back
Top Bottom