Search results

  1. M

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    🙄🙄🙄Huyo usongo wake utaondolewa Mirembe tu.
  2. M

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Mkuu habari za siku, nimatumaini yangu kuwa baada ya kupata ushauri mbalimbali kutoka kwa wanaJF kuna maamuzi uliyafanya na tayari utakuwa na jambo live la kufundisha wengine. Kwa ufupi nilitaka nipate feedback ya maamuzi yako na maendeleo yako kwa sasa.
  3. M

    Neema wanaotaka kuchukua mafao mifuko ya Jamii

    Ukweli lazima usemwe PSSSF Ukiwai kupata mafaoi ni miezi sita na rushwa utoe😚😚😚
  4. M

    Serikali, hili la Simba na Yanga ni jipu

    Walioanzisha ni Yanga hao hao mwaka jana kuzishadadi ,timu zote zilizokutana na Simba mpaka na kocha wao kuterekeza timu wakati inacheza na Lipuli kwa ajili ya kuzisaidia hizo timu. Hawa yanga wapigwe faini takatifu na wewe mkurya acha kuhimiza vurugu.
  5. M

    Neema wanaotaka kuchukua mafao mifuko ya Jamii

    Si ulitaje gazeti lenyewe ndo tulitafute mtandaoni.
  6. M

    Serikali isipuuzie kuthibiti bei na usafirishaji nafaka nje ya mipaka

    Mkuu ukiona unaandika uzi lakini hujapata hata like moja na huku unashambuliwa jitafakari sana. Kwanza naipongeza sana serikali kwa uamuzi huu mzuri. Muda wa kureguleti bei iliondoka na Nyerere, sasa hivi tunatakiwa tuishi kwa nguvu ya soko kama tunataka kupunguza tatizo la vijana kukosa ajira...
  7. M

    Ukweli uwekwe wazi, Serikali ya awamu ya tano iko hoi kifedha

    Hapo usiguse tumeumia vya kutosha, tumestaafu miezi kadha iliyopita lakini malipo hakuna. Mungu tubariki labda Rais wetu hajui hili kwani mambo mengi naona anadanganywa sana .
  8. M

    Kazi za wastaafu baada ya kustaafu

    Acha dharau zako dogo, labda mzazi wako hakujua kuwa kuna siku atastaafu. Sisi tuliostaafu ndo tunakula bata hatari vikwini mtaaani tunafagia na kuwaachia mazee yetu ni. Tunapata fedha zisizo na makato yoyote halafu kwa wakati siyo ninyi mpaka mlete andiko humu kuikumbusha Serikali.
  9. M

    Nashindwa kujielewa ni mimi tu 'nisiyependa kujichanganya na watu' au kuna wenzangu wapo hivi? Msaada tafadhali

    T Tabia yako inataka kuwa karibu na yangu, nadhani malezi ndiyo sababu kubwa ya kupenda kuwa mpweke. Mimi nililelewa na mama wa kambo tangu mdogo na nikawa mistreated sana , amri kali ya kutokutoka nyumbani, kazi zote za surubu kupewa mimi. Ila nashukuru kwa tabia hiyo imeifanya niweze kupata...
  10. M

    Haji Manara out Simba,sio msemaji wa Simba sasa kuuza perfume yake kariakoo. Gift Macha ndo msemaji rasmi wa Simba

    Pole mkuu ngoja dawa ikuingie barabara. Naona leo hujalala hata kidogo. Manara yuko palepale nakuomba ujiandae kisaikolojia.
  11. M

    Maisha: Kuwa karibu na maskini au matajiri haya ndio matokeo yake

    Kuna mdogo wangu wakati alipokuwa shule alikuwa anampiga mzee fedha ndefu kumbe alikuwa anaomeshea rafiki yake. Baada ya wote kumalizia kidato cha sita walifanikiwa kupata kazi na kuwa maofisa wakubwa. Cha ajabu urafiki wao umekufa lakini yule kijana aliyesomeshwa amekuwa sehemu ya familia...
  12. M

    Unamfahamu mnyama Squirrel

    Kuna aina nyingi sana za vicheche njoo huku kijijini tukuonyeshe , usikalili aina moja ya kicheche akamatae kuku.
  13. M

    Pamoja na ukatili wote huu, bado kuna wasaka vyeo wenye moyo wa kusifu na kupiga makofi!!

    Mwanzo 1:28 sipendi kumhukumu leo ni jumapili ila amedharau sana kazi ya Mungu ya uumbaji na kumpa sifa za uumbaji shetani. Nami ni mkosaji ila huyu kakufuru 😳⁉️
  14. M

    PSSSF yatumia bilioni 880/- kulipa wastaafu

    Hebu acha matano hayo, mimi ni mmoja wa wastaafu wanaosubiri mafao . Mbona unatupa uchungu hivi? Kwa nini kila taasisi wanakuwa waongo hivi ndo wasitumbuliwe? Kama ni kweli watujulishe wamelipa mpaka mwisho mwezi gani?!!
  15. M

    Rais Suala la kikokotoo bado ni gumzo kutatuliwa, 25% bado inatumika kulipa mafao

    Umeamua kumdharau Rais wetu kiasi hiki kwa kumuita mwongo na asiesema anachokisimamia? Ukishughulikiwa na wasiojulikana mnaanza kelele. Hii ni dharau iliyokithiri kwa Rais wetu.
  16. M

    Natafuta kichwa cha Kubota original toka Japan kipya

    Asante mkuu kwa masahihisho yako ,ubarikiwe sana
  17. M

    Natafuta kichwa cha Kubota original toka Japan kipya

    Mkuu je hivi vitu vinapatikana hapa Tanzania?
Back
Top Bottom