Search results

  1. wilsonilanga

    Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

    First year tarifa zao zilishafika kipindi wanaaply mkuu
  2. wilsonilanga

    Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

    Hiyo nilazima wala msijidanganye usipofanya hivyo utasota mpaka hadcopy yamajina ikaje utakuwa umeisoma namba please fanya hivyo hilo swala ni serious mkuu
  3. wilsonilanga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mabetaz wote tukutane hapa tujadili perfect ya game za ijumaa tupige mpunga woga wako ndiyo umasikini wako
  4. wilsonilanga

    Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Acha utoto unatupuyangia boom lako cc linatuhusu lini sasa kiazi ?povu tu
  5. wilsonilanga

    Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

    Ach utoto kijana boom lako sisi linatuhusu nn? Mzee wa kusawazishiwa
  6. wilsonilanga

    Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

    Mmmh iv na ww ni educated Nina wasiwasi na Brian yako mkuu
  7. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] hahaha ww ndiyo uliyetengeneza hiyo app duh upo juu broo lakini komaa xana mungu anakuona
  8. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Kubishana Na watu kama nyinyi ni kupoteza data bure kk komaa xana mungu anakuona Kwa matusi yako asante
  9. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Kwanza inaonekana ww hakili yako haipo sawa haiwezekani uendelee kunifatilia kama tarifa Haifa broo temana nayo sikuanza kuleta ugomvi humu sijawahi ona m2 wa ajabu kama ww
  10. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Acha ujinga mbona unakuwa kama hujaelimika kiazi mkubwa ww
  11. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Inazingua[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  12. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Haya bwana usiyakuze xana cc sote ni binadamu Na tunakosea na no one ambaye hajawahi fanya kosa so ni kusamehana tu kaka angu usiwe ugomvi
  13. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Hongera Kwa kuwa Na akili nyingi and almighty God bless you abundantly
  14. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona sikuelewi mkubwa nimechanwa nn acha wivu mjomba
  15. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
  16. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Broo kwan ubaya upo wap mm naona ipo njema kk angu hiyo ni kama breaking news lakini kama umekwazika sorry for that coz human being are created to mistake Na ndiyo maana tunasema hamna aliye mkamilifu
  17. wilsonilanga

    Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

    Jana jumatatu tulifanya uchaguzi wa raisi wa chuo ambao ulifanyika Kwa amani Na kufikia tamati saa kumi kamili jioni Na muda wa saa nne usiku matokeo yalitoka yakionyesha bwana Edward Kunyara aliibuka mshindi Kwa kuwazidi Kura wagombea wenzake bwana Edward Kunyara Kwa sasa ndiyo raisi wa sokoine...
  18. wilsonilanga

    SUA hatujapata mkopo mpaka sasa

    naona tatizo lipo chuoni maana vyuo vingne wote walishapata kitambo
Back
Top Bottom