Search results

  1. fredymagessa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    posa ilitumwa juzi usiku
  2. fredymagessa

    Natafuta kazi ya Ualimu

    uko wapi
  3. fredymagessa

    Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    sidhani kama kuna mantiki mtu anapo sema tanganyika ni zao la kikoloni, wakati hata hizo kenya, uganda, ghana, na nchi nyingine nyingi za Afrika zilitawaliwa na wakoloni na baadae kupata uhuru na kubaki na majina hayohayo nawala huo ukoloni wanao uzungumzia haupo, hata zanzibar yenyewe...
  4. fredymagessa

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Jaribu kufikilia tena,sababuzako zaweza kua za msingi sana, ilakuondoka kwako kunaweza kusababisha madhara makubwa sana katika mchakato huu, ukawa inatafuta wanachama wengi ili kufanikisha malengo yao napengine nimtu mmoja tu ambaye pengine ni wewe utafanikisha ushndi kwa ukawa. tulia watendee...
  5. fredymagessa

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    huo ni utabili, piga goti omba subili Mungu atende, kwanini kubishana hadi mtoleane matusi? kama nilakuwezekana lita wezekana kama ni uwongo basi itajulikana tu. watanzania wenzangu Mungu yupo na bado anazungumza na watu wake.
  6. fredymagessa

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Kaaazi kwelikweli, ndo Tanzania lakini, sie wa kikurupuka.
  7. fredymagessa

    Natafuta mtu atakaeniiuzia samaki za jumla jamani kwa bei nzuri

    nipo shirat rorya, 0764218633 whatsap au piga 0783410404 or 0653348761 tufanye biashara.
  8. fredymagessa

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    minadhan mita zina togautiana me leo nimenunu umeme wa elfu kumi nimepata unit 29.6, sasa tatizo na mita au bei,
  9. fredymagessa

    Kiswahili cha Kikenyakenya

    Doo=fedha, mshiko, hela
  10. fredymagessa

    Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

    Nikweli mkuu me nimeibiwa 40 elf, bank NMB Tawi nzega, baada ya kutaka kutoa elfu hamsin ikatoka elfu kumi, af kufatilia transaction ndan ikaonekana 50 imetoka nisha andika barua lakin had leo wapo kimya. kueni makin jaman
  11. fredymagessa

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Nirushie pls. fredymagessa@gmail.com
  12. fredymagessa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mbinguni siyo kwa babu yako lazma uyakane yote ya dunian na kufanya yalio mema sikuzote za uhai wako....
  13. fredymagessa

    graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C unahamia D auto

    Hadi pale utapo ona tofaut ktk mshahara wako ndo utajua kama habar nizakweli
  14. fredymagessa

    Tanzania inayorudi nyuma kimaendeleo

    Haya ni baadhi ya mambo nilio yapata katika utafiti niloufanya mwenyewe. unaruhusiwa kuchangia kwa kukosoa, kutoa maoni,kuongezea mawazo na kutoa majawabu. 1. uchumi wetu unakua kinadhalia 2. pesa yetu ina''polomoka'' thaman yake kwa kasi 3. mishahara duni makato makubwa 4. uchumi...
  15. fredymagessa

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Safi sana naipongeza serikali kwa kuturudisha enzi za mwalimu, kutuma BARUA kwa mabasi, kujulishana habar za msiba saa7 mchana REDION na kutumia SIMU moja kijiji kiza. HAYA NDIO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Mungu ibariki afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom