Search results

  1. O

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Sina budi kusema asante sana kwenu mliotoa elimu na ushauri kuhusu hili tatizo, binafsi mchango wenu umenisaidia sana, sana tu. Naamini hata wengine mliozingatia yaliyoshauriwa ktk hii thread mtakuwa mmefaidika. Baada ya kuzingatia mengi ya yaliyoshauriwa, na hasa mazoezi na chakula, niliweza...
  2. O

    Mama huyu asaidiwe vipi mtihani huu?

    Ndugu yangu, kuokoka raha yake mtu aingie akiwa sober...sio ktk kizungumkuti kama hiki
  3. O

    Anne makinda ni mwanamke??

    Jike Dume! Kwi-kwi-kwi! Siku alipokalia kiti kuendesha bunge, ladha ya kutazama na kusikiliza ilipotea kabisaaaa! Hafai!
  4. O

    Ziko wapi shule nzuri kitaaluma na kimaadili Dar?

    Wadau, ni shule gani za elimu ya msingi nzuri kitaaluma na kimaadili, hasa za English Medium? Wapi naweza kupata takwimu ya matokeo ya darasa la 7?
  5. O

    Is Fina Mango back to Clouds FM?

    Alikinogesha vizuri hicho kipindi, ile ladha ya Power Breakfast ya enzi hizo bado haijarudi mahala pake bana
  6. O

    Is Fina Mango back to Clouds FM?

    Ukweli ni kwamba sikumbuki kama ni juzi au jana, lakini ni kati ya siku hizo mbili. Na pia ni kweli sina uhakika kama nilisikia sauti yake niliifananisha...ningekuwa na uhakakika nisingeuliza!
  7. O

    Is Fina Mango back to Clouds FM?

    Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
  8. O

    Nawezaje kupata Internet connection ktk simu ya Blackberry 9630?

    Naomba ufafanuzi kwa anayejua hili; Kuna utaratibu gani wa kupata huduma ya internet ktk mobile phone aina ya blackberry kwa mtandao wowote (Tigo, Voda, Zain nk)? Unalipia kama unavyolipia maongezi kwa vocha zetu hizi za kawaida au inakuwaje?
  9. O

    Taaluma ya Ualimu

    Nilisema waliokaribia kufeli...hata hivyo naamini ujumbe umeeleweka.
  10. O

    Taaluma ya Ualimu

    Mwenzenu huwa natatizwa na Selection ya Form IV kwenda Form V, Vyuo nk. Huwa inakuwaje waliofaulu vizuri wanaenda A-Level, vyuo vizuri nk, lakini wale wa karibu na kufeli kabisa kama Div IV.28 hivi ndo wanaopelekwa ktk kozi za Ualimu, tunategemea nini kwa watoto wetu mashuleni wanapofundishwa na...
  11. O

    I salute and love women!

    Uwezekano mkubwa ni kwamba wanaorudia wanakuwa hawajasoma threads zilizotangulia, sidhani kama wana maana ya kuudhi wenzao. Just being curious, kama hujabahatika kuzisoma zilizotangulia, unajuaje kama ilishabandikwa kabla? Tuelimishane
  12. O

    Do Women like Virgin men?

    Mimi naiona katika mitazamo miwili: 1) Kama huyu mwanamume amekuwa virgin kwa kudhamiria, huyu ni bomba, ina maana aliamua kujitunza na anajua cha kufanya pale atakapoamua kuanza kushughulika, iwe ktk ndoa au ktk mahusiano na mwenzi wake, hata kama hajui, ni rahisi kujua na kupata mwelekeo...
  13. O

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Thanks people! I will try my best to work on ur advices. I strongly hope it will clear my mess. Again, thanks JF Doctors!
  14. O

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Nawashukuru kwa michango yenu. Can someone tell me more about these products (Mint & Siki ya zabibu/apple)? Zinapatikana wapi na hasa jijini Dar? Siki ya zabibu/apple ni juisi bila maji?
  15. O

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya. Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona kama ni vya kizungu, kwa Tanzania sijui kama vipo na kama vipo basi sivijui. Je naweza kupata...
Back
Top Bottom