Search results

  1. Emmanuel J. Buyamba

    Sita wasomewa mashtaka ya mauaji ya Milembe Seleman aliyekuwa Afisa wa GGM, akiwemo aliyekuwa "mkewe"

    Hizo Mahakama zina kazi kubwa sana ya kukusanya taarifa za kesi hiyo ili kurahisisha kazi kule Mahakama Kuu.
  2. Emmanuel J. Buyamba

    Sita wasomewa mashtaka ya mauaji ya Milembe Seleman aliyekuwa Afisa wa GGM, akiwemo aliyekuwa "mkewe"

    Kuna ulazima wa wewe kufika mahakamani na kujifunza maana ya hizo hatua. Hizo Mahakama za chini kazi yake ni kukusanya taarifa zote na kuzifaili kwenda Mahakama Kuu baada ya kuwa zimekamilika. Lengo ni kusaidia mahakama za juu kutokuwa na mlolongo mrefu wakati wa kusikilizwa kesi husika. Kazi...
  3. Emmanuel J. Buyamba

    Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Sawa tu maana yalishawatokea wengi hayo wakiwemo Ufaransa, Italia, Hispania na Ujerumani,kikubwa Messi kabeba kombe la dunia.
  4. Emmanuel J. Buyamba

    Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Naomba kufahamishwa,ikitokea mtu umemhitaji kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa ajili ya kumpatia kibarua, ni wakati gani utahesabika umeasafirisha binadamu na ni wakati gani hutahesabika hivyo!?
  5. Emmanuel J. Buyamba

    Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Kubaka mara 2 ni miaka 60, Mahakama imempunguzia idadi iwe alibaka mara 1, miaka 30.
  6. Emmanuel J. Buyamba

    Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Taarifa inasema alimbaka mara mbili.Hii inamaanisha bila msamaha angefungwa miaka 30 mara mbili ambayo ni sawa na miaka 60. Mahakama imempunguzia ili awe kama alibaka mara moja, miaka 30 hiyo. Daah, haya mambo haya!!.
  7. Emmanuel J. Buyamba

    Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    Suala siyo kuanza ama kutoanza, suala hapa ni kwamba Mungu alishindwa kuumba Ulimwengu ambao dhambi haiwezi kuanza kwa namna yoyote? Mbona wewe hapo ulipo hata ufanyaje huwezi kurudi tumboni kwa Mama yako? Mungu alishindwa kufanya dhambi ishindwe kuanza!?
  8. Emmanuel J. Buyamba

    Tamko la kuipongeza CHADEMA na viongozi kwa kukutana na Rais Samia

    Hongereni sana CHADEMA mkoa wa Shinyanga kwa tamko lililoshiba.
  9. Emmanuel J. Buyamba

    Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Hiyo post namba 109 ndiyo hii ya kwako, we unaona kuna kifungu chochote umekiweka hapa?
  10. Emmanuel J. Buyamba

    Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Unaanzaje kujibu huo utopolo? Umeona kuna vifungu vyovyote vya katiba ya Chadema ameambatanisha ili kusapoti hayo madai yake kuwa Mdee alipaswa kuchukuliwa nidhamu na Baraza Kuu?
  11. Emmanuel J. Buyamba

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    Kwako wewe Mungu ni nini? Una uhakika upi kwamba yupo? Unaweza kuthibitisha?
  12. Emmanuel J. Buyamba

    Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

    Mwenzako kaulizia kuhusu Shetani, wewe unamhamishia kwingine, Vipi na wewe akija mwingine akakuambia achana na hilo,jiulize Paka yupo kwa ajili gani. Wa paka nae akaja kupingwa kwa staili hiyohiyo na mwingine, tutafika? Hebu badilika na uwe kama Great thinker ndugu.
  13. Emmanuel J. Buyamba

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ukishagundua ya kwamba habari za Mungu ni uongo mtupu automatically na kichwa cha post hii na habari nzima inakuwa imeishia hapo. Ndiyo maana tumewarejesha huko kwenye shina ili kuukata mzizi kabisa.
  14. Emmanuel J. Buyamba

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Kwa nini Mungu alitengeneza hayo mabaya? Kwa kuwa hakukuwa na Shetani kabla huyo Shetani alipata wapi wazo la kuasi? Na je, Mungu wenu alishindwa kutengeneza Ulimwengu ambao Shetani hata afanyaje hataweza kuasi?
  15. Emmanuel J. Buyamba

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela, Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani? Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome, Halafu yeye huyohuyo...
  16. Emmanuel J. Buyamba

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Mkuu,wakati mwingine hao unaojibizana nao uwe unaangalia hata wanavyoandika ili upime uelewa wao uko level gani. Kwa mtazamo wangu huyo mtu akiwa kajitahidi sana basi kaishia darasa la tatu primary, sasa kuchalenjiana nae kwenye mambo yenye uhitaji wa tafakuri kubwa namna hii ni sawa na kujaza...
  17. Emmanuel J. Buyamba

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    Nimeshakwambia hicho unachokiita swali hakijafikia kiwango cha kuwa swali sababu kina makosa, wewe hutaki kuelewa halafu unatakaje? Kama kila unachoona unadhani kinafaa kuitwa swali hata kama kina makosa wewe nikikulazimisha unitajie rangi ya wimbo wa taifa unaweza kuitaja?
Back
Top Bottom