Search results

  1. B

    Hotuba ya Mh. Tundu Lissu kuhusu Muungano bungeni - 12 Mei 2014

    Hili jembe liishi miaka buku maana kichwa chake ni saw na wabunge wa CCM 200 Ole wenu tusikie mme muulimboka
  2. B

    John Komba: Unaweza kuwa Jaji lakini ukawa Jaji wa ovyo!

    Komba ni janga la taifa thinking capacity yake iko very low anachojua ni kukata viuno na mipasho kama mama chanja mwili wake kavimba kama puto /sanamu la michelin Jeshini alikuwa mpishi hawezi kuwa kepten huyu kiuno
  3. B

    Mishahara juu, kupanda Julai kwenye bajeti

    Sasa ametangaza NIA au AHADI?
  4. B

    CHADEMA: Itajutia Matusi kwa Mwal.Nyerere

    Huu unafiki wa manyinyiemu ni balaa wapo walio mkimbia nyerere na chama chake wakati wa uhai wake wakahama kwenda upinzani eti leo wanajifanya ndio watetezi wake baada ya kufa mfano huyu Nyani wassira tehe tehe
  5. B

    Msaada tafisiri

    Nashukuru sana mkuu pamoja sana
  6. B

    Msaada tafisiri

    Wakuu naombeni tafisiri ya maneno haya 1.Adventure-adventurous trip /journey 2.Courtesy-courtesy visit Natanguliza shukrani wakuu
  7. B

    Msaada juu ya Kampuni ya Vifurushi

    Mkuu hao DHL ofisi zao zipo wapi ?
  8. B

    Msaada juu ya Kampuni ya Vifurushi

    Wakuu naomba mwenye kujua kampuni ya kusafirisha vifurushi (courier company) inayoweza kuniletea kipasel changu mpaka dar anisaidie ili ndugu yangu atumie hiyo na je gharama zao zipoje kwa mfano Uganda to TZ SHUKRANI NATANGULIZA
  9. B

    Msaada tafadhali

    Jamani wakuu naomba kujuwa je naweza kumtumia fedha mtu alieko UGANDA kwa kupitia M-pesa au tigo pesa natanguliza shukrani kwenu wakuu
  10. B

    Msaada tafisiri

    asanteni wakuu
  11. B

    Msaada tafisiri

    Asanteni
  12. B

    Msaada tafisiri

    Wakuu naombeni tafisiri ya neno hili :Awesome" mfano :-I'm awesome My GOD is awesome Natanguliza shukraniani
  13. B

    Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

    Kama angechagua dini ya majini islamic ambayo mtu akifa hukamuliwa mavi lol! wachafu hawa angekuwa amepotea jumla
  14. B

    Natafuta marafiki

    Nadhani umepata ulichotaka mkuu hii sio FB
  15. B

    Msaada wa tafisiri

    Mkuu mpaka hapo nashukuru sana uendelee kuishi heshima kwako
  16. B

    Msaada wa tafisiri

    Habari za majukumu member wote wa JF jamani naomba tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili . Pattern .Columnist natanguliza shukrani
  17. B

    Lema: Lowassa, Sitta na Mwakyembe kuhamia CHADEMA

    Awamu hii atahamia CHADEMA unafikiri akitoswa na chama chake kugombea urais patakuwa hapatoshi
  18. B

    msaad wenu

    jamani naomba kujua hivi huu wimbo wa zamani unaoimba "Baba na mama nipeni demokrasia ya mapenzi" uliimbwa na bendi gani na unaitwaje ?natanguliza shukrani
  19. B

    Msaada wa tafsiri

    Jamani wataalamu naomba tafisiri ya neno mysterious hasa likiwa hivi- *Mysterious person. *2 people have died mysteriously . Natanguliza shukrani
  20. B

    Help please!

    Asanteni sana jf ndo mpango mzima
Back
Top Bottom