Search results

  1. apakati

    Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

    Ooh. Mekusoma vyema. Kaazi kweli kweli.
  2. apakati

    Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

    Castr, Sijakupata, kwamba biashara hiyo ni halali kinyume na nilivyosema au una maanisha si halali?
  3. apakati

    Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

    Ukitaka kufanikiwa, usifanye biashara iliyo kinyume na sheria! Ukija kufanikiwa mbeleni ukawa mtu mkubwa, inaweza kukusumbua kimahakama au walau ki majuto nafsini. Kumbuka KUNAKILI FILAMU, MIZIKI, VIDEO n.k na kuuza si biashara halali. Itakuwa halali tu pale una mkataba na mwenye hati miliki ya...
  4. apakati

    Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

    Hivi bado mpo zile enzi za kutoangalia mtu anajua nini, mnaangalia anajua kiingereza kiasi gani? Nchi yenu bado sana. Yaani jaribu kupitia Japan, China, Germany, France na Nchi nyingi za kiarabu, kiingereza hata sio lugha yao ya pili, wanaongea kueleweka, km huelewi uje na mkalimani wako...haiwahusu
  5. apakati

    Ni mda gani nitumie gia namba 2 kwenye gari automatic(nina maana ile 2 iliyoandikwa pale)

    Inaonekana ni mtaalamu wewe, je na ile "L" ni kazi gani? Mimi huwa ni mwendo wa D tu tangu nzaliwe.
  6. apakati

    JK apata mshituko juu ya ongezeko la bei ya vyakula; aagiza serikali kuingilia kati

    Mapato ya nini wakati wa janga? Unataka kusaidia huku unataka kukamua? The two wont work!!
  7. apakati

    Babu wa Loliondo sasa yuko hatarini...

    Umesema Dunia ina watu zaidi ya bilioni 6. Hebu sasa jaribu kuwaza, iwapo watu bilioni moja tu duniani kote wanaumwa magonjwa sugu, wakija Tanzania na babu akawatoza sh 500, mwisho wa siku atakuwa amepata sh ngapi? 500x1,000,000,000=??? Ndo shida yako kubwa labda ipo hapo!!!! Bilioni 500...
  8. apakati

    Tatizo la Panya

    Kuna pia dawa ya kiteknolojia, ni kifaa kinatoa kelele kubwa sana (yaani kama vile umefunga mashine ya kuranda mbao chumbani kwako) ila binadamu haisikii hii sauti ipo katika frequency (masafa) wanayosikia panya (rodents), so kwao ni bonge la kelele. Ulizia madukani mie sikumbuki maduka, ila...
  9. apakati

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    hehehehehheheeh taaamuuuu
  10. apakati

    Waziri John Magufuli hili la kuvunja jengo la TANESCO Ubungo tumia busara

    Mbona Nyaya Za Umeme Kwa Yule Mchungaji Wa Pale Mwenge aka Kakobe Hamkusema Zikwepeshwe? Hamkuona Pale Kuna Maelfu Ya Maisha Ya Watu Wakati Wa Ibada. Mkasimamia Sheria Na Nyaya Zikapita Pale Pale... Vunja Maguguli Vunjaaaaa!!!
  11. apakati

    Watakwenda na maji

    Unakosea, haimaanishi kama mimi ninamiliki mabasi yangu sasa nimekuwa mbunge niyaache ama niachane na biashara hiyo, si kweli hata kidogo, ni kwamba kwa vile wewe unaingia siasani, zile biashara zako unakabidhi waendeshaji wengine (Delegates) kwa mfano kama wewe ni Managing Director na unatakiwa...
  12. apakati

    Kikwete anapiga simu kuomba kura!

    ni kweli hata mimi jana jioni kanipigia, ni ya kurekodiwa maana wakati inaongea muda huo huo ikawa inaita kwa mwenzangu naye akasikia maneno yaleyale. Ndiyo namba ni voda ya 54 then zote 7
  13. apakati

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ni Ubinafsi kwa kuwa tendo lilitakiwa kuwa la wawili wenye ndoa. Itapendeza sana kwa yeyote anayefanya aache hii.
  14. apakati

    PUFDEA: Ni upatu au nini?

    Kosa letu kubwa ni kupenda kumsikiliza mpitanjia. Umekwenda huko manzese mara mbili, hujaweza kupata uhakika wanafanyanini hasa, unataka kuskia toka kwetu. Makosa. Ulitakiwa usimame kidete wakwambie wanafanyaje na unafaidikaje. Km hukua na muda nakushauri uende tena. Jua undani wa kitu kabla...
Back
Top Bottom