Angalau uwe na sababu 3 za kuingia trade,
Kwa mfano tuseme we ni trend trader na price imefika kwenye trend/support, hapo inabdi uangalie tena kama **** stop loss hurting imefanyika (idea ya Wychoff) - Compost Man, kama tayar basi utasubr price either itengeneze W/M katika lower time frame 1H -...
Smart Money Concept (SMC), Wychoff concept, Order Broke, patterns , etc, vyote vinasaidia kutengeneza Confluence katika entry, lakini inachikua muda vyote ku- align, hivyo best entry inachikua muda kutokea na ikitokea inatembea muda mrefu sana.
Pure price action is the key, Volatility zinatembea bila influence of fundamentals (News).
Lakini uvumilivu wa kusubri the right time, inasumbua sana.
e.g hapa nimeingia baada ya kusubri for about 3days.
Habari ndugu zangu wanajamvi!
Kwa mda sasa kumekuwa na changamoto kubwa ya kupata mbengu za viazi lishe kwa Wakulima na inapopatikana imekuwa ikiuzwa kwa mche mmoja mmoja kwa shilingi za kitanzania 60 - 100/= hivyo kukatisha tamaa walio wengi.
Kwa wasiojua fursa ya viazi lishe jaribuni...
Sasa udikteta uchwara kwenye nchi yetu unahusiana nini na unabii wa kufa Rais?
Kwani kila dikteta lazima afe?
Kama kweli ni Nabii wa Mungu alishindwaje kuota Lowasa amekuwa Kiongozi wa UKAWA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.