Dr Slaa,Zito, Mnyika, Tindu lisu, January! najua mnaweza kutengeneza hoja kwanini kila wakati kamati zinapopita katika wizara na taasisi kama zilizotajwa na wahusika wengine humu jamvini na kugundua upotevu mkubwa wa fedha,
1. Hatua hazichuliwi?.
2. watendaji hawawajibishwi?.
3. Tafadhalini...
issue yangu hapa ni pamoja na matatizo yote ya umeme, kumeingia sumu katika wizara hii inayonyesha inaendeshwa kinamna namna. Na hii inatokana na barua ya kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia kupitisha badget ya wizara ya nishati na madini.
Inawezekana kweli barua ya kiofisi iandikwe na...
Nina laptop aina ya dell620 hivikaribuni ghafla ile icon ya bat ilijionyesha na alama ya x nyekundu. Ukielekeza curser kwenye ile icon kuna pop up msg ikionyesha battery not detected. kwa hali hii ni kwamba umeme ukizima batery haichukui mzigo and I totally loose the unsaved data during power...
Haya kumbe pacent kubwa ya ugavi wa umeme ulikuwa uantumiwa na migodi. Sasa Mtanzania mlalahoi mzawa anataabika na mgawo.
Umeme kwao madini kwao - kwa vipi?
wagombanapo fahari wawili ziumiazo ni nyika!
suala na kufunga oulets lingeendana na mikakati ya kulaza mabomba kwa ajili ya wananchi walengwa ambao walikuwa wakipata maji kwa maboza. sasa wananchi tunaumia kwa makusudi mazima kwa nini iwe hivyo.
tumepandishiwa umeme, leoo kwenye magazeti...
Namsifu Mgaya nawasifu wafanyakazi na naisifu TUCTA,
Huu ni mwanzo mzuri nia yako mfanyakazi si kugoma bali kuonyesha hali halisi ya mfanyakazi kiungwana. Usifikiri hakuna asiyejua athari ya mgomo. Mfanyakazi amekaa katika hali hii (ya mshahara mdogo, kodi kubwa, na mafao madogo ya uzeeni) kwa...
Angeulizwa pia,
Kwanini hakuna hatua zozote zinazochululiwa kuhusiana na upotevu wa wa pesa uliopitia kagoda,deep green, rada, tax exemptions, EPA, na mikataba mibovu ya madini hali ambayo pengine ingewatuliza wafanyakazi kwamba wanaovujisha mapato ya serikari wanashughulikiwa, ambapo sehemu...
Jamani wana JF:-
Kutokana na kashfa ya Radar inayosadikiwa kwamba amehusika.
Uingereza kukiri na kuamua kurudisha Tanzania kiasi cha pesa zizochukuliwa kifisadi.
Kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye kwenye account ya nje ambazo si halali.
Naomba mnieleweshe kwa nini hachukuliwi hatua za...
Hii topic ni nzuri.
mjj amelenga pazuri.
kuunda chama kipya itatuchukua muda mrefu kutarua matatizo ya nchii hii. tuwasaidie hawa viongozi wa vyama vilivyopo katika uteuzi mzuri wa kiongozi wa kitaifa (Rais) ambaye ana sifa zote ambazo sisi wananchi tunazi afiki. na ana maadili mema ya...
Ni kweli, ndugu yangu alikuwemo humo ndani ya benki yeye amejeruhiwa na watu walikuwa wakigombania mlango kutoka baada ya majambazi hao kutoka. Ameniambia majambazi hao wamefanikiwa kutoroka na fedha nyingi kutoka benki na wateja wa benki hiyo. Walinzi na askari ama wameuawa au kujeruhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.