Search results

  1. njechele06

    Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Nimemwona ndugu balozi alivyokua anapata shida kupangua hoja za TAL Tatizo alienda kwenye mdahalo akiwa na sumu dhidi ya lisu. ...mara eti lisu ana demolize state and sh**ting niwe. Masikini mashilingi kaishia kusema false mara not true kisa anatetea uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. njechele06

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    H ha ha maajabu ya serikali ya magofooli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. njechele06

    Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

    Mkuu mshana nakubaliana na bandiko la andiko lako Ingawa wapinzani wa kupinga huwa hawakosi Biblia ni neno la Mungu ni kitabu maalum cha Mungu ni zawadi pekee sana kwetu. Siyo kama vitabu vingine lakini nikitabu cha ajabu. Kiliandikwa na watu wengi tofauti, na walikiandika kwa UONGOZI wa Roho...
  4. njechele06

    Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

    Luka 8:10 Akasema, Ninyi mmepewa kuzijua siri za ufalme wa Mungu; bali wengine kwa mifano, ili wakiona wasione, na wakisikia wasielewe.
  5. njechele06

    Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    Yoshua1:9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. #getwellTL #pray4lisu
  6. njechele06

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mkono wako ni mkono wenye uweza Mkono wako una nguvu Mkono wako wa kuume umetukuka Huniponya na adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia, Na kuniponya na mtu wa jeuri. Unilinde nafsi yangu na kuniponya, Nisiaibike, maana nakukimbilia Wewe . ''IN TL PRAYING Voice's...''...
  7. njechele06

    Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

    Simon yule mkirene aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba kuelekea Goligota alikuwa mwenyeji wa kirene ambayo alijulikana kama cyrenecea ndiyo libya ya sasa .
  8. njechele06

    Punyeto zinawaharibu vijana sana, wamekuwa wadhaifu sana kitandani

    Sent from my BlackBerry 9720 using JamiiForums
  9. njechele06

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Asante mkuu kwa kazi nzuri ya kushauri na kuelimisha elimu hii ya kilimo .nahitaji pdf za nyanya na tikiti,email yangu ni ndammaelias2000@yahoo.com nijulishe cost yake .barikiwa sana kiongozi.
  10. njechele06

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Akiwa waziri mkuu 2015 kama avyojipambanua umeme wa grid ya taifa aliowekeza ,nchi nzima atupeleka na zaidi ya hapo surplus yake nchi za jilani atazineemesha.....!MATOKEO MAKUBWA SASA pathetic Hii mizee mingine ni zaidi ya hatari.
  11. njechele06

    Rutabanzibwa amtunishia msuli Waziri Huvisa

    nchi hii na ufisadi bado sana
  12. njechele06

    Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

    Julius kambarage international air port again.......!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. njechele06

    Taswira ya baadhi ya wananchi wa Dar -es-salaam na siasa ya Tanzania

    Wana jamvi habari! Kwa upeo ulio wazi SIASA ni leo , jana na kesho juu ya maisha ya mtu na taifa kwa ujumla. Politics operates at every level of our daily lives.Decisions relating to the food we eat ,the employment we seek ,the leisure activities we undertake and the people with whom we choose...
  14. njechele06

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Kama raisi tunae....Sijui machangudoa lini ratiba yao itakuwa? Aisee Eee Mungu tusaidie .
  15. njechele06

    Bidhaa Hatari za Kichina sasa Kila Sehemu Nchini... Zitaanza kuua punde!

    Hilo ccm na serikali yake hawalioni...bongo bana full tambarare
  16. njechele06

    Nini hasa chanzo na tiba ya ugonjwa Arthritis?

    Heshima kwako mzizi mkavu Ahsante kwa mchango wa kitabibu ,response shall be deliver after the medical use
  17. njechele06

    Kimya changu kina mshindo - Nape

    Kwisha habari huyu.Bazoka ya lumumba pole yako
  18. njechele06

    Kimya changu kina mshindo - Nape

    Bado Uko likizo...
Back
Top Bottom