Search results

  1. Zogoo da khama

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hebu twambieni nyie Tanesco huu ngao hapa Kibong'oto utaisha lini? hii ni hospital ya TB imezungukwa na raia lakini umeme ni tatizo tunaupata kwa mafungu, unaamka asubuhi umeme upo baada ya masaa 2 mnazima unarudi alasiri saa 9 ikifika saa 3 usiku mnazima shida nini? hivi mnajua kadhia...
  2. Zogoo da khama

    DP World 2023

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  3. Zogoo da khama

    DP World vs United Republic of Tanzania

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  4. Zogoo da khama

    Karibuni tujadili kuhusu Leseni ya Udereva

    Kama unajua sheria, driving licence ya nini ina msaada gani? Mbona kuna uhakiki wa vyeti? Nimeuliza kwa watu binafsi wasio waajiliwa kwa fani ya udereva
  5. Zogoo da khama

    Karibuni tujadili kuhusu Leseni ya Udereva

    Ndugu zangu naomba tujadili umuhimu wa kuwa na driving licence kwa watu ambao wanamiliki gari binafsi na zisizo za kibiashara. Je, kwanini isiwe kwa madereva wanaoendesha gari za biashara kama mabus, maloli, tax na wale ambao wataomba kazi za udereva kwenye taasisi mbali mbali? Nini faida ya...
  6. Zogoo da khama

    Mfumo wa ulipaji Serikalini (Muse)

    Kaka mwezi wa pili huu nimefanya kazi na halmashauri za wilaya na uhamiaji, nadai hadi nachoka ukiuliza jibu mfumo wa hazina na BOT ndio tatizo malipo yamekwamia huko.
  7. Zogoo da khama

    Mfumo wa ulipaji Serikalini (Muse)

    Hakuna tatizo wakati malipo yamekwama huko?
  8. Zogoo da khama

    Mfumo wa ulipaji Serikalini (Muse)

    Huo mfumo unasumbua sana karibu mwezi sasa, tumetoa huduma kwenye taasisi za serikali, kila ukienda kudai malipo yako, kwa upande wao washaruhusu malipo, tatizo hazina ndio kikwazo kuruhusu malipo yaingie kwenye akauti zetu, jambo linalotukwamisha shughuli zetu, tunaomba wahusika wa huo mfumo...
  9. Zogoo da khama

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nini shida hapa, mara nyingi nikienda sehemu zenye baridi, au ukifika msimu wa baridi napatwa na tatizo la kubanwa na kifua kama mtu mwenye homa ya niumonia mara tu ninapokunywa maji au tunda lolote lenye majimaji nyakati za asubuhi?
  10. Zogoo da khama

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hivi kuchanika kwenye sehemu kama hizo kwenye kucha inasababisha na nini? Hilo tatizo linanisumbua sana kwenye vidole
  11. Zogoo da khama

    Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

    Hawatoiiii ni matapeli tu hao, hata hiyo namba ya simu ukipiga haipatikani.
  12. Zogoo da khama

    Simbaaaa

    Mara 3 woiii
  13. Zogoo da khama

    Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

    Huko wapo wa uhakika kwani? Kwanini mwenge wa uhuru hauendi kuangaza huko? Nakwenda field miezi 2
  14. Zogoo da khama

    Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

    Nilipanda jahazi toka Mkoani Pemba hadi Tanga masaa 8 tupo baharini halafu upepo na mawimbi sitakaa nisahau
  15. Zogoo da khama

    Simbaaaa

    Hapa tumepigwa mchana kweupeee, huyu akija mikoani ni kumpopoa mawe mpaka wamrudishe kwao
  16. Zogoo da khama

    Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

    Kutoka mbagara mpaka nyamisati ni masaa mangapi? Vipi huko mafia kuhusu malazi, chakula na starehe nyingine?
  17. Zogoo da khama

    Likoni Mombasa raha

    Kwahiyo ukiwa na Tzs. 500,000 kwa wiki moja tosha kabisa sio?
  18. Zogoo da khama

    Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

    Ratiba ya meli ikoje yaani inaondoka saa ngapi hapo nyamisati
  19. Zogoo da khama

    Naomba kujuzwa gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia

    Ndugu zangu naomba msaada wenu, natakiwa niende kisiwa cha Mafia kikazi hivyo niandae bajeti ya safari. Ombi langu nataka msaada wenu kujua gharama za usafiri toka Dar hadi Mafia iwe kwa ndege au boti na gharama za malazi hasa Lodge.
Back
Top Bottom