* Wafanyabiashara wanaweza kutumia NCD kupata anwani na simu za biashara zinazotoa bidhaa au huduma wanazohitaji. Hii inaweza kuwasaidia kuokoa muda na juhudi za kutafuta biashara hizi. Kwa mfano, mfanyabiashara mdogo wa nguo anaweza kutumia NCD kupata anwani na simu za maduka ya rejareja ya...
National Commercial Directory ni tovuti inayotoa orodha ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi nyingine duniani kote.
Tovuti hii inasaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kwa njia kadhaa, ikiwa ni pamoja na:
Kuongeza upatikanaji wa wateja.
National Commercial Directory inasaidia...
Ninakuandikia kukujulisha kuhusu njia ya kupata orodha ya wafanyabiashara ndani ya Tanzania. Orodha hii inajumuisha maduka na ofisi zinazotoa huduma mbalimbali, kama vile:
maduka ya nguo
maduka ya viatu
maduka ya vifaa vya nyumbani
maduka ya vifaa vya ofisi
maduka ya vifaa vya michezo
maduka ya...
Je, unatafuta muuzaji wa water pump Tanzania? National commercial Directory ndio mahali pa kwenda! Tuna orodha kamili ya wauzaji na wasambazaji wa water pump nchini Tanzania. Unaweza kuchuja matokeo yako kwa eneo, aina ya pump, na bei. Pia unaweza kusoma hakiki za wateja ili kupata muuzaji bora...
Je unashida na pump za Maji zinazotumia Solar?
National Commercial Directory inakupatia Orodha ya wauzaji na wasambaji wa Pump za Maji za solar ndani ya Tanzania.
Ingia hapo :Solar Water Pumps | Tanzania National Commercial Directory - NCD
Je unashida na pump za Maji zinazotumia Solar?
National Commercial Directory inakupatia Orodha ya wauzaji na wasambaji wa Pump za Maji za solar ndani ya Tanzania.
Ingia hapo :Solar Water Pumps | Tanzania National Commercial Directory - NCD
Salama mkuu! Mie Sio mzoefu sana kwenye solar lkn najua kuna Sehemu nilipata link ya wauzaji wa Pump za Maji zinazotumia Solar. Pale nilipata contacts za wauzaji kama 100 ambao wanashughulika na uuzaji wa hizo solar pump kwahio ikanipa uwanja mpana wa kuchagua iliyo na bei nzuri maana niliweza...
Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika.
Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako.
Directory husambazwa Sehemu nyingi tofauti tofauti na hutumiwa na Wafanyabiashara kutafuta wateja na...
National Commercial Directory
Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz
Utapata:
-Namba zao za Simu
-Sehemu Walipo(ofisi)
-Email zao
-Website zao
Kwa mfano Kwenye Directory yetu...
Karnataka University India kinatoa nafasi ya kusoma pre-university kwa waliomaliza form 4 kwa miaka miwili na baada ya hapo unaendelea na degree kwenye course za science,computer na biashara.
Tuwasiliane kupitia aahmeda50@hotmail.com kwa maelezo zaidi.
Qualifications ni mtu mwenye D 3 anaruhusiwa.Na ukimaliza hio pre university ni course kamili ambayo mtu anaweza kusoma Chuo chochote duniani kwa level ya degree.
Na fees kwa miaka yote miwili ni $3000.
Computer Science, Statistics, Business Studies, Accounts (CSBA)
2. Computer Science, Economics, Business Studies, Accounts (CEBA)
3. History, Economics, Business Studies, Accounts (HEBA).
Hizi ni baadhi ya course zitolewazo kwa pre university kwa wale wote waliomaliza form 4.Chuo kinaitwa...
Kama uwezo wa kujisomesha upo bora uende chuo na kama haupo nenda A-level.Kama hela ipo unaweza ukasoma India pre-university itakuwezesha kuwa exposure na uwezo wa kuona maisha kwa upande mwengine wa shilingi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.