Search results

  1. mbasajohn

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Hz habar source yake wapi maana official website za wizara hazna tangazo hlo. mi nmechek cjaona c hapa Welcome to the Official Website of Immigration Services Department of Tanzania wala hapa Ministry of Home Affairs - Home, sasa au ck hz watu tunafanya kaz kwa social media?
  2. mbasajohn

    Sikuhonga na simjui mtu lakini nimeitwa uhamiaji

    Asante kwa pongezi na pia kwa tuhuma, lakini lengo langu halikuwa kuonyesha kuwa hakuna rushwa au kujuana katika kupata kazi, lengo langu lilikuwa kuwaonyesha na kuwapa moyo watoto wa wakulima wenzangu kwamba inawezekana kupata kazi pasipo rushwa wala kumjua mtu. Ukweli ni kwamba hii haikuwa...
  3. mbasajohn

    Sikuhonga na simjui mtu lakini nimeitwa uhamiaji

    Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
  4. mbasajohn

    Sijala toka jana nilipohakikisha sijachaguliwa uhamiaji

    Yatasemwa mengi lakn ukwel n kwamba cmjui yeyote uhamiaji na cktoa hata centi moja but nimeitwa kwenye wale 70
  5. mbasajohn

    Oral interview Assistant Inspector Immigration (Uhamiaji)

    Wadau nimefanikiwa kupita mchuzo wa 10,000+ ya uhamiaji lakini hapa sina ninaye mjua pale uhamiaji au mtu ambaye alishawahi kufanya kazi uhamiaji na hivyo sina referee except kichwa changu tu. Sasa wenye utaalam na oral interview za uhamiaji hebu wekeni wepesi kwa kijana mwenzenu angalau kwa...
  6. mbasajohn

    Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

    Hapa naona ccm wanacheza soka la kulpwa kutaka kuanzsha makundi ndan ya cdm na i thnk they ar getng there ila kwa sisi waelewa 2mewasoma na hatuwez jiunga kwenye mjadala huu wenye lengo la kukvuluga cdm kwa hv vjmijadala vsvyo na mshko kwa sasa.
  7. mbasajohn

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    too expensive anyway sio issue vip ina maana nikitumia oriental ginseng namaliza tatizo la PE
  8. mbasajohn

    CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

    Naambiwa hawa tayari wameachia ngazi 1.Mustapha Mkullo 2.Cyrill Chami 3.Omary Nundu 4.Dr.Haji Mponda
  9. mbasajohn

    Anna Makinda Katukanyaga Utosini watanzania

    For sure huyu mama nashindwa kumwelewa maana hili swala anataka kulivaa kuitetea serikali akizani kuwa watanzania wasahaulifu watasau mapema na ifikapo bunge jipya watakuwa kimya, she is wrong watanzania wa sasa ni waelevu na waliochoka na mbinu za mwaka 86, amepitwa na wakati na ndo maana ana...
  10. mbasajohn

    Moto walipuka chini ya mti Arusha karibu na kituo cha Sabena.

    pole sana wakazi wa arusha na mliopo eneo la tukio tupen habari
  11. mbasajohn

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Please mwenye hukumu yote ya kesi ya Lema aweke hapa ili tuweze kuijadili kwa uwazi na ukweli na tujue uhalali wa hukumu yenyewe maana mda huu ni emotion zaidi ndo zinatuongoza kutoa maoni hatuna facts ya kutosha.
  12. mbasajohn

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    majira ya saa moja msimamiz mkuu wa uchaguzi jimbo la arumeru amemtngaza mgombea ubunge ka tiketi ya CHADEMA kuwa mbunge rasimi baada ya kupata jumla ya kura 32,535,dhidi ya 26,296 za mgombea wa CCM.
  13. mbasajohn

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    uchaguzi wa madiwani kata ya kirumba chadema wameshinda oyeeeeeeeeeeeee
  14. mbasajohn

    CCM yashinda udiwani kata ya Vijibweni - Kigamboni

    kama ni kweli hongeren CCM
  15. mbasajohn

    UFAFANUZI WA HUKUMU YA JAJI FAUZ : TANESCO v DOWANS

    Please can I have COPY OF High Court ruling on Dowan Vs Tanesco
  16. mbasajohn

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Nashindwa kuelewa hv swala la ministerial responsibility haliaply Tz au ndo tunalindana maana cdhan kama inahtaj mgomo mpya kwa waziri kujiuzur knapotokea makosa ya wazi kwenye wizara yake! Viva madoct najua itatucost watz wakawaida lakn hakuna kizur kscho na sacrifice! I support doctors and i...
  17. mbasajohn

    Madaktari watinga ikulu

    Ni kweli wameenda kuonana na mkuu wa kaya! Habari zimetolewa na vyombo vya habari pia!
  18. mbasajohn

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Guys ok mi nakubaliana na nyinyi kwamba serikali kwa kuchelewesha pesa inatutesa si watoto wa wakulima na wawindaji lakin huweze kuilaumu SAUT admn kwa hili maana kwanza kumbuka mpaka sasa SAUT hawajapata pesa hata ile ya fees ya semister ya kwanza kutoka bodi na mpaka leo nimeenda kucheki salio...
  19. mbasajohn

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    a gd story it bring sense bt i need more evidence and dots to act in it!
  20. mbasajohn

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    guys labda nina mtzamo tofauti kwangu mimi EL ndo rais safi 2015 kama 2nataka maendeleo na tamati la ufisadi. Nasema kwa kuwa EL hana aibu na anaweza kuwashkisha adabu mafisadi na watendaji wabovu vile vile kwa kuwa anakashfa ya ufisadi na kama mnavyojua EL anapenda sifa so atataka kuwaonyesha...
Back
Top Bottom