Search results

  1. tzchalii

    mpenzi aliyembali na wewe...

    kw amtazamo wangu si vizuri kumsaliti mpenzi wako,maana umbali sio kigezo cha wewe kumsaliti mpenzi wako,achana na umbali hata kama hauko mbali nae bali mko nchi moja sehemu tofauti tofauti si vizuri umsaliti mwenzie. Kwa wale waliosoma riwaya ya ZAWADI YA USHINDI NADHANI WATANIGET VIZURI ni...
  2. tzchalii

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Makala ni nzuri sana,lakini swali ni hili,tulipata uhuru au matatizo tu,maana enzi hizo kama babu yangu alivyonisimulia rushwa haikuwepo,ukandamizazi haukuwepo,unyanyasaji haukuwepo ,ufisadi haukuwepo,kuongezwa posho kiwizi wizi kutoka elfu sabini hadi lakini mbili za kibongo kwa siku...
  3. tzchalii

    yanga wamewatolea nje asante kotoko...!!

    ala ,si vizuri kuwazuia watu wasende kupokea neema,Tanzania mbona mnaendekeza uchawi hadi kwenye soka?,ina maana bundi ni tishio la kuwazuia wachezaji wasicheze boli,?namna hiyo soka haliwezi kupanda.yaani msirogwe siku zote mje kurogwa siku ya mechi ya kuadhimisha uhuru, . wenzenu wamekuja...
  4. tzchalii

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Ni ubakaji wa kihistoria kutangaza ati twasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania,hakuna kitu cha namna hiyo,Tanzania haijafikisha miaka 50 wala hakuna nchi Inaitwa Tanzania ilipata duniani,Bali Tanganyika ndio iliyopata Uhuru na Zanzibar ndio iliyopata uhuru Kisha Zikaungana zikazaa dude...
  5. tzchalii

    Iran shoots down US drone

    Ndege hiyo wataalam wa kistate wanasema ilikuwa na uwezo mkubwa w akupeleleza ikiwa imebeba vifaa vya kisasa vya kijasusi na makemera ya kufa mtu ya kiteknolojia,na kwamba ndio ndege ya kisasa kabisa iliyokuwa top katika ndege za ujasusi za marekani kulingana na teknolojia iloyotumika...
  6. tzchalii

    Mukazi Wange Search: Yametimiahaya hapa matokeo kamili

    Halo ,habari zenu ndugu mamembers nyote.napenda kuchukua nafasi hii kutangaza kwamba natafuta mchumba wa kike kuanzia 22-32,tuwasiliane kupitia email-yangu. {tzchalii@yahoo.com}.
Back
Top Bottom