Sijayaona hayo unayosema kwa Rais Samia. Hayo yote alikuwa nayo jiwe. Angalau Samia kidogo anajali hatma ya mtanzania kwa ujmla wake. Samia si mkamilifu but is doing better kwenye angle nyingi sana ukilinganisha na Jiwe
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa. Lazima tuyalinde mazingira kwa gharama yoyote ile, huo ndio uhai wetu na watoto wetu. Monduli na Lungido hakufai kabisa, ni kukame balaa, nenda huko Shinyanga ni kukame hatari. Mifugo lazima ifugwe kwa kuzingatia usalama wa mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji. Hiyo mikoa ya...
Umetembelea mikoa ya wafugaji umeona kulivo kukame? Unataka tuharibu na mikoa yenye asili ya kilimo kisha tutaishi vipi? Mkuu lazima tubadilike na hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu. Mifugo hiyo ipigwe mnada kama wanaweza watanunua wao wenyewe na wasipoheshimu sheria watanyang'anywa tena...
Hicho chombo tayari tunacho, Jeshi la zimamoto na uokoaji. Shida kubwa ni kuwa, Zimamoto imemeza masuala ya majanga mengine!
Binafsi wazo lako naweza kuliboresha kidogo kwa kusema Jina la jeshi la zimamoto lifutwe, liitwe hilo jina ulilopendekeza. Halafu structure ya jeshi hilo ibadilike, kuwe...
Fact, biashara, accounts na uchumi. Graduates ni wengi sana competition ni kubwa sana kupata ajira ni ngumu sana. Ukisoma hizo course zaidi sana labda kama unataka kwa ajili ya kujiajiri.
Kwa maoni yangu binafsi nashauri kijana kama anasoma basi asome kitu atakachotumia kujiajiri na sio...
Umeambiwa moja ya sababu ya ndege kuanguka ni hali mbaya ya hewa. Sasa kama kuna hali mbaya ya hewa ni vipi ungepeleka chopa hapo? Jielimishe, haihitaji akili nyingi kuelewa vitu vidogo kama hivi
Umeambiwa kulikuwa na hali mbaya sana ya hewa, hivyo kuruka angani ilikuwa ni risk. Pia kwa wanaofahamu Bukoba, kutoka airport hadi hospitali huitaji ndege, maana ni dk tatu hadi tano kwa gari. Tatizo mnaongea msiyoyajua, kila mtu anajifanya anajua! Hii nchi ngumu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.