Search results

  1. P

    Kutoka Dodoma: Fred Mpendazoe atangaza rasmi kurudi CCM

    Wote mumekosea Mpendazoe hajawahi kuwa Mbunge wa Meatu wala Kahama. Huyo alikuwa Mbunge wa Kishapu
  2. P

    Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wasipewe nchi: Mwalimu Nyerere aliwaza nini?

    Mtoa mada mpumbavu kabisa! Nani alikwambia wasukuma washamba? we ndo mshamba pumbavu mkubwa wewe. Tena ukome kuwaita wasukuma washamba. shenzi kabisa wewe.
  3. P

    2015 CCM mlete wanajeshi Mtwara wawapigie kura

    Amin amin nakueleza mtoa hoja, usishangae kuona mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu wabunge wote mkoa wa mtwara kutoka C.C.M pia madiwani wote manispaa ya Mtwara mjini wakawa wa C.C.M. Nawajua vizuri wamakonde ni wepesi kusahau
  4. P

    Kikwete amteua Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo MUST

    Al Noor Kassum (born 11 January 1924) is retired Tanzanian politician. Educated in Tanzania and the UK, where he was called to the Bar at the Inns of Court in London, Al Noor Kassum was a prominent figure in Tanzanian politics and the Ismaili Muslim community after the country's independence. He...
  5. P

    Kirefu na maaana ya LLB

    "LL.B." stands for Legum Baccalaureus in Latin.
  6. P

    Chaguzi mabaraza ya katiba; nimeshindwa na anayejua kusoma na kuandika tu,nimeambulia kura 1 tu

    Mchakato wa katiba ni mpango wa CCM kuhakikisha wanatengeneza rasmu mbovu kabisa ya katiba mpya ili wananchi waikatae kwenye referundum halafu katiba ya zamani iendelee kutumika maana tangu mwanzo hawakuwa na utashi wa kuandika katiba mpya (rejea maneno ya Werema- mwanasheria mkuu na Kombani-...
  7. P

    Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    hata hivyo mbona hadi sasa pamoja na kutokuruhusiwa viboko mashuleni walimu bado wanawatandika viboko wanafunzi kwenye mashuleni. Nimeshuhudia hilo katika shule nyingi tu. Labda shule za mjini lakini shule za vijijini, viboko kama kawaida
  8. P

    Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    Mfumo unatapatapa!
  9. P

    Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

    yule muuaji wa zanzibar siwezi kuamini kama ni yeye kweli, ila ugaidi wa lwakatare ni live bila chenga,
  10. P

    Taratibu mambo yameanza kuwekwa hadharani kuhusu Lwakatare

    Tuendelee kuwafichua magaidi wengine kama akina lwakatare!
  11. P

    Tukio gani litafuata mwezi April?

    mtoa mada! nenda kwenye ofisi ya msajili wa vifo na uzazi ndiyo utajua statistics ya kupungua au kuongezeka kwa vifo, usiongee bila data, matukio yapo kila siku, kila mwezi na nyakati zote hapa tz. tusidanganyane.
  12. P

    Tukio gani litafuata mwezi April?

    mtoa! nenda kwenye ofisi ya msajili wa vifo na uzazi ndiyo utajua statistics ya kupungua au kuongezeka kwa vifo, usiongee bila data, matukio yapo kila siku, kila mwezi na nyakati zote hapa tz. tusidanganyane.
  13. P

    Hongera sana FBI, Hongera sana Kikwete

    Hivi kuna ugaidi mkubwa kushinda ule wa kiongozi wa chadema bw.lwakatare, ambapo mbaka dakika hii nashangaa kwanini hajabanwa na kutaja mtandao wake wote!
  14. P

    Mzee wa Upako: Dini Hugawa Watu! Serikali, Siasa na Michezo huunganisha Watu

    Huna hoja, angeshushiwa mmakonde ungesema kwanini siyo mzaramo? Nashangaa sana hakuna hata mtume mmoja aliyetokea Magharibi hata mtume Issa ambaye nyinyi mnamwita Mungu ilihali hana sifa ya kuwa mungu, hakutokea huko magharibi, sasa inakuaje wamagharibi ndio wamewaletea dini yenu. duh hivi...
  15. P

    Mzee wa Upako: Dini Hugawa Watu! Serikali, Siasa na Michezo huunganisha Watu

    Uislamu haujaanzishwa na waarabu bali ameshushiwa mtume Muhammad (s.a.w) ambaye ni muarabu kama walivyoshushiwa akina mtume Ibrahim, Is-hak, Yakubu, Suleiman, Issah ili kuwaeleza watu wa zama zao mfumo sahihi unaotakiwa kufuatwa na binadam kama M'Mungu alivyowaagiza.
  16. P

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    Ebu tupunguze haya matamko jamani, kila siku matamko? tuiache serikali na vyombo vyake ifanye kazi yake.
  17. P

    Dep DCI Mngulu hakumjibu vibaya Pengo - Wahalifu wana akili kama polisi, tusijenge chuki kwa Polisi

    wewe ndio hamna kitu kabisa na haifai hata kujitambulisha x-cop, kesi za mauaji hazina jazba wala hutakiwi kufanya kazi kwa ubaguzi wa dini, eti kwa sababu aliyeuwawa ni padri, acha uchunguzi ufanyike, watu wakijiridhisha kisha mtuhumiwa apelekwe mahakamani.
  18. P

    Wauaji sio kondoo maneno ya kashfa kutoka kwa walinzi wa mali zetu na raia-polisi

    mbona viongozi waislam wanapojaribu kudai maslahi ya waislam wanaowaongoza maaskofu ndio wanakuwa kimbelembele kutoa matamko kwa jambo ambalo haliwahusu.
  19. P

    Wauaji sio kondoo maneno ya kashfa kutoka kwa walinzi wa mali zetu na raia-polisi

    Ujumbe wa kuifuata njia sahihi ulishatufikia, Hatuwezi kurudi nyuma na kuanza kuabudu na kuomba mapango au binadamu wenzetu kwani havitusaidii kitu vyote hivyo viko chini ya mamlaka ya M'Mungu, M'Mungu ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa.
  20. P

    Iramba: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi!

    viongozi na wanachama wa chadema bila kuswekwa rumande, kupigwa mabomu ya machozi na kutandikwa virungu huwa miili inawawasha eeee!
Back
Top Bottom