AISEE MLETA MADA UNAKERA. NILITAMANI NIENDELEE KUKUSOMA ILA NIMESHINDWA. MTU ANAKUTIA DOLE UNASEMA LIACHE HAPOHAPO TUKAULIZE KAMA NI HALALI AU LA KUPIGWA DOLE. AISEE
Pole kwa changamoto.
Unasema kweli. Kwa umri wako unapaswa kuwa na rafiki wa kike. Huyu kiukweli atakusaidia sana kukutoa kwenye mawazo. Si lazima awe mpenzi kwa sasa. Huyu utanikuta unamueleza masuala yako automatikale, hasa mbapokuwa mmekaa sehemu.
Kuhusu biashara, hujasema ni biashara gani...
Mbona wako vizuri tu? Wana selcom huduma, email yao ambayo ni autimatic. Wanakutengenezea na TT, na ishu yako ikiisha wanafunga TT. Labda inategemea na kitengo. Mi nipo upande wa fuel (i mean huduma naioata kwa masuala ya fuel)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.