Search results

  1. Chipukizi

    Nimegugo dalili za zote UKIMWI, ninazo

    Ata Kisukari kwa wengine dalili ni hizo hizo acha woga kapime
  2. Chipukizi

    Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kweli kabisa upo sahihi- Dawa za asili zina ponya kabisa na sio Kutuliza kama hizi za Wazungu. Mfano kuna mti mmoja unarudisha nguvu za Kiume baada ya matumizi ya mwezi mmoja na anakuwa sawa kwa miaka mingi mbeleni. Lakini Wazungu wana promote Viagra ambazo mtu akitumia kwa muda fulani tatizo...
  3. Chipukizi

    Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna Dawa za asili zinatibu Kisukari na kansa. Ikumbukwe kuwa haya Magonjwa yalikuwepo Africa ata kabla ya Watu weupe kufika Barani Africa. Je Babu zetu walijitibu na nini???.....China mpaka leo zipo hospital 100% zinatibu kwa miti shamba. India pia wana official Taasisi ya madawa ya...
  4. Chipukizi

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Kama una mtaji njoo inbox nikupe project ya IT upige hela
  5. Chipukizi

    Matangazo ya lazima kwenye kwenye simu: Hizi sera zipo worldwide au hapa Bongo tu ili watupige mb zetu?

    Huu mchezo upo sana kwenye Tecno na Infinix. Yes wanaiba MB tena nyingi tu... baadhi ya nchi TCRA zao zimewapiga stop ila hapa TZ bado wanaiba sana https://www.gadgets360.com/mobiles/news/tecno-w2-phone-malware-xhelper-triada-preloaded-preinstalled-transsion-steal-data-money-2286354/amp...
  6. Chipukizi

    Kada wa CCM ndugu Mwijaku amesema yeye ataendelea kumsifia Yeyote atakayemlipa, adai Mjini Kijana hatakiwi Kuishi Kizembezembe!

    Aliingiaga anga za Abby Cham😂😂Kilichomkuta mpaka Leo ,Ataji ata jina la yule Binti😁 Kila Mbwa ana siku yake. Atanasa tena tu.... ni mdharirishaji sana... mpaka Leo Menina ajapata haki yake!! Na wakati Kesi ya Menina Mwijaku angeshakuwa amefugwa kwa kuvujisha ile video.... ila Siku moja at kuja...
  7. Chipukizi

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Ficha upumbavu wako. FM frequency kila mji unapangiwa masafa (frequency moja tu) na FM ina Total 100 Stations kwa kila mkoa: The FM radio band is from 88 to 108 MHz between VHF television Channels 6 and 7. The FM stations are assigned center frequencies at 200 kHz separation starting at 88.1...
  8. Chipukizi

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Humu JF kuna Vichaa wengi sana😂 ajui kitu anajifanya mjuaji msamehe bure
  9. Chipukizi

    Kijana wangu anapenda kusomea aircraft engineering au Urubani

    USA ,Canada , UK na Kwengineko ajira zinapatikana bila ubaguzi wa Nchi unayotoka...
  10. Chipukizi

    Kijana wangu anapenda kusomea aircraft engineering au Urubani

    Air craft Engineer,Aviation Engineering na Upilot vinalipa na kazi nje ya Tanzania ni nyingi sana. NIT Mabibo wana hizi kozi na pia Kijana yeyote wa Kitanzania anetaka soma kozi hizi 100% anaweza pata mkopo toka Bodi ya Mikopo. Tembelea website ya NIT na kujua requirements za Kozi so aanze omba...
  11. Chipukizi

    Kuna uwezekano mkubwa quran kikawa ni kitabu kilichokuwa na kila kitu

    Ni ajab Ni jambo la Kushangaza Quraan Ina Vitabu toka kwenye Bibilia Agano la kale na jipya. Lakini Quraan hiyo hiyo inasema na kusisitiza kuwa Maadui wakubwa wa Waislam ni Mayahudi na Wakristo . Pia Quraan inasema Yesu ajafa na pia atarudi Tena na kweli alifanya miujiza.... lakini awamwamini...
  12. Chipukizi

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Mt 6:16 SUV Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. Warabu wanaswali kuliko nyie Waislam wa Bonyokwa! Mnalazimisha kujitoa Sigda ili Watu woote wajue kuwa mu watu...
  13. Chipukizi

    Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

    Mwiko no 1 kwa any Agent ni kujulikana yeye ni nani kwa Yeyote yule ambae sio agent ajalishi ni mkeo au nani.Ma agent wa huku Manzese wengine wakilewa tu wanajitaja kwa sifa na wengine wanatoa Service Hand Guns ili wajulikane😂 Mwamba huyu hapa...
  14. Chipukizi

    Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Japo VETA wana kozi za Ufundi ujenzi, Vijana awataki kusoma.... ata kwenye Fenicha pia ni majanga. Wachina wana vyuo wanasomea ndo maana ata Gereji zao za magari hapa nchini wapo makini sana na uhaminifu juu. Ukienda Gereji za Kina fundi Iddi Itabidi na wewe uwe saidia fundi😁😁Ukiwaachia gari...
  15. Chipukizi

    Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Ukweli ni kuwa Mafundi wengi awajui jinsi ya kuezeka hizi aina ya paa! Tanzania ya sasa Vijana awataki somea fani yeyote..... wanapenda Short cut. Kuanzia kwenye ufundi magari,simu,Nyumba ndo kabisa unakuta fundi anaweka tiles Chooni maji ayaendi😭. Jirani yangu baada ya kubadilisha mafundi zaidi...
  16. Chipukizi

    Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

    Kuna yule mama UK ndoa miaka 40, amekuja Gunduwa kazi ya mumewe baada ya kufariki na kuzikwa😂
  17. Chipukizi

    "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Yap upo kweli! Majini ni wale Malaika Ambao Mungu aliwatimua Mbinguni na kuwatupa Motoni(Shetani na Malaika zake- Mashetani) Ila wanaswali kama waislam. “Say, [O Muḥammad], “It has been revealed to me that a group of the jinn listened and said, ‘Indeed, we have heard an amazing Quran (i.e...
  18. Chipukizi

    Picha hizi ni funzo kwetu

    Kweli kabisa! Ukifa ata kama Dunia nzima itakusalia- kama wewe mfu uliishi maisha maovu . Sala zao azitakuepusha na Moto
Back
Top Bottom