Search results

  1. Mkungo

    Zitto: Thamani ya Tshs dhidi ya Dola inazidi kuserereka. Leo $1=Tshs 2235 Nini Kinaendelea?

    Mimi sidhani kama kuna lolote linaloendelea isipokuwa sheria zetu ni mbovu. Kwanini wabunge wetu waliamua kui trash shilingi yetu kwa kupitisha sheria zinazomtaka mtanzania kutumia $$? Sheria hizi ni za: 1. Madini: Mtanzania yeyote anayetaka kumiliki vitalu vya madini, kulia tozo mbalix2...
  2. Mkungo

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Unafiki wake tunaujua na hata chuo alitusumbua kwa roho ya ubinafsi. Yuko kimaslahi zaidi...kapewa lamba lamba kwa kuwa huwa hawezi kuchukua maada yeyote bila ....
  3. Mkungo

    Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

    Mmh kumbe vyama vya siasa zinavuta mkwanja mnono kama hivi yaani wanadai hazina millioni 935! Ndiyo maana wanagombana wala si maslahi ya wananchi mbali ni ruzuku.
  4. Mkungo

    Unafiki na chuki umejaa katika utumbuaji majipu

    Yaani unasema wewe ni tumaini kutupandishia bei? Wewe ni hope kuficha pesa za miradi eti kampuni imeona ni faida kuziweka kwenye akaunti ya muda maalumu inayolipa? Wewe unashauri wakosee TANESCO watumbuliwe EWURA? I dont think the your iq commands rationally. Unastahili kutumbuliwa moja kwa moja.
  5. Mkungo

    Unafiki na chuki umejaa katika utumbuaji majipu

    Issue hapa ni lengo la pesa husika. Kama zimeletwa kwa kazi fulani ztumike siyo watu wakoswe huduma au miundo mbinu eti umeweka fixed deposit inazaa. Mwisho wa mwaka irudi hazina haijatumika. Hapa JPM yuko sahihi kabisa. TANESCO hapa mwanzilishi anastahili siyo regulator. Kwa mfano mambo...
  6. Mkungo

    Lissu anauona udikteta wa Magufuli lakini wa Mbowe hauoni

    Kuteua watu wenye maslahi ya kujuana na kubinya demokrasia kwenye vyama vya upinzani. Sasa sisi tunashindwa kuona pakutoea.
  7. Mkungo

    Nachukia wanaomkosoa Rais Magufuli

    Kwa uwazi wazi JPM anapiga kazi sana. Wapo wengi walipita wala hatukuona wamefanyi. Wengine walikaa kwenye nyadhifa kuu miaka 10, miaka 2 nk lakini siwezi kusema wamefanya nini hasa. JPM yuko mwaka mmoja madarakani na nusu mwaka wa kibajeti lakini watu mapovu yamewatoka. Ndiyo maana huwa...
  8. Mkungo

    Sera ya kupambana na mafisadi yageukia Uhuru wa kutoa maoni

    Mafisadi wana tentacles nyingi ...ngoja Rais wangu JPM awanyoshe kwanza. Anayepambana na mafisadi anashambulia kwenye mitandao kwa visingizio uhuru wa kujieleza...ukiandika vitu visivyo na mashiko utanasa kwenye ulimbooo
  9. Mkungo

    Rais Magufuli na Buhari watajwa kama marais walioangusha matumaini ya wananchi

    Propaganda za cdm kwa watu walikuja kutuibia maliasili (wakoloni) zetu. This is time we are vigilant enough. Tunataka unbiased coverage kutoka nchi ambazo hazina na maliasili zetu
  10. Mkungo

    Benki Kuu hatimaye imechapisha Taarifa ya Mapitio ya Uchumi wa Mwezi Oktoba kupitia Novemba 2016

    Mapato ya jumla ni 83% lakini kwa namba ni over 1.2 trillion. Mapato ya kikodi ni 93% ya lengo (1.1 trillion)
  11. Mkungo

    Kuhusu Makusanyo ya Kila Mwezi: Serikali iseme Ukweli

    Reports zitatolewa muda ukifika. Pressures za nini? Zamani huku nyuma zilikuwa zinatoka kama alivyofanya JPM au wivu na hasira za kukosa!
  12. Mkungo

    Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Mindsets zilichoka....
  13. Mkungo

    Mwaka mmoja CCM kwisha

    Tatizo wana mtandao mnadhani ndiyo wananchi walivyo mtaona chaguzi ndogo mtakavyolia. Ishara tosha 2020
  14. Mkungo

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Mmh inakatisha tamaa. Lakini cha msingi date na mwanaume/mwanamke ambaye ni best friend wako. Hata kama ukimvulia nguo mume/mkeo atakutenda tu. Mbili, muwe mna hobbies sawa. I mean muwe mnaendana kimatendo na mawazo. Hapa unatakiwa muda kumjua. Tatu, kwa wanaume lazima mjue mwanamke cha...
  15. Mkungo

    Ilikuwa ni aibu kujiita Mtanzania - Askofu

    Wewe Nyani Gabu mtanzania kutoweza kuongea english ni aibu? Vipi mzungu kutojua kuongea kiswahili? Wewe uko mentally colonised n brainwashed. A leader should lead his people to the desired direction Not eith her/his ability to slang foreign languages. May be you are in foreign countries where...
  16. Mkungo

    Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Wivu wa kimaendeleo na ukanda. Acha Rais awe na mahali salama pa kutua kuliko kuatamia barabara huku abiria tuna haraka zetu
  17. Mkungo

    Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Wewe sema una matatizo kukugalagaza kwenye uchaguzi. Uchaguzi umeisha focus mbele nia kitaifa zaidi. Utapata nafasi nyingine.
  18. Mkungo

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Rais anatumia ndege au bajaj? Kama ana ndege aijenge chooo? Jiongeze basi...
  19. Mkungo

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Mfalme wa Morocco atajenga uwanja wa kisasa
  20. Mkungo

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Hii kwa vodacom/tigo etc walikuwa hawatoi ufafanuzi wakiwa wanatukata. Hakuna kilichoongezeka walikuwa wanatoza VAT tangu zamani ila walikuwa hawakuonyeshi tu
Back
Top Bottom