Search results

  1. wilchuma

    Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

    Write your reply...hilo soko au jengo lamakumbusho ya utumwa
  2. wilchuma

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Write your reply...Kolymsky Heights hadith flan hiv ya kispy pamoja na the animal farm yaan mi kwa kifupi vitabu vyote vya crime thriller with love romance suspension navipenda sana, hapa nasoma kinaitwa the vengeance kinahusu baba drug addict who are on the run from authority baada ya kuua...
  3. wilchuma

    Mshituko: Watu wasiojulikana waua Watanzania 6 mto Ruvuma na wengine kujeruhiwa

    ELI-91, mkuu hata mm naskia huko nsumbiji radicalism ya kiidin imeingia
  4. wilchuma

    Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Wekeni video basi na ss tuone
  5. wilchuma

    KINAPA eti kwenye vituo katika njia za kupitia kupanda mlima wa Kilimanjaro vyoo ni vya shimo

    Serikali ilitaka kufanya hivyo waongozaji na wabebaj mizigo watalii wakapinga, ila naskia mpango bado upo
  6. wilchuma

    Mwanaume mtu mzima unayejitambua , mwenye watoto na familia , unaanzaje kumiliki line ya Halotel ?

    Write your reply...acha dharau kid jana enu tutake radhi, kabla sjakutoa busha😂😂
  7. wilchuma

    Hivi mwanamke anaweza kukaa miezi sita bila kufanywa?

    Mim Tangia 2010 nimevunga tuu
  8. wilchuma

    JamiiForums Usiku wa manane

    Write your reply...njaaa sa hiv namkosoa fundi tuu
  9. wilchuma

    Mambo kumi (10) usiyopaswa kufanya.

    mmh hiyo ngumu kumesa, I'll pass
  10. wilchuma

    Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Write your reply...Glory to God, We shall overcome
  11. wilchuma

    Polisi na ubambikaji kesi ukweli ulio wazi - usiosemeka

    Write your reply...dah hii swala linaumiza sanana katika mambo yanaoninyongonyeza tanzania ni hilo, na ni kama wenye mamlaka hawajali, mi mdogo wangu alikutwa tu duka la mtaan amekaa, wakamkamata wakampa kesi ya kuchexa kamali, kufikishwa kituoni mbezi kwa yusuf akaandikiwa armed robbery, kisa...
  12. wilchuma

    Wahariri wa Habari hasa wa Magazeti tumewachoka na acheni kuibaka na kuinajisi tasnia

    Puta nputa ndo umeandika nn boya kwel ww povy linskutokaaa si ukawe muharrr ww
  13. wilchuma

    Tetesi: Dar: Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya Palm beach

    Ahahahaaaa,nimecheka sana, et habar za viwanda
  14. wilchuma

    Wanasayansi wasema majanga yataoongezeka katika kiwango ambacho hakijawahi kuwepo. Je,tumejiandaa?

    Fema nao nndio hao wanaotaka kuimpose martial law, na new world order, mailluminati hao, na hiyo id name yako ndo hixo hizo, propaganda za geoengineering
  15. wilchuma

    CHADEMA: Atakayempinga Lowassa na Mbowe kufukuzwa!

    Wamevurugwa hao kamanda Malipo yamekuwa kiduchu mjini Lumumba
Back
Top Bottom