Search results

  1. M

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    huyu pasco hujamwelewa Wewe ametumia lugha ngumu, actually hamaanishi unavodhani
  2. M

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    upo serious! du we utakuwa ni either ni mtoto wa mitaani au huna baba/ ulikataliwa Na baba yako kabla hujazaliwa so ulizaliwa Na stress za kukataliwa Na baba yako una psychological problem, unatakiwa kuombewa sana
  3. M

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    du hii democracy inabakwa sasa tushafikia hatua hiyo!
  4. M

    Natafuta Boyfriend aliye serious

    man friend vip huitaji? maana namezea ila stage ya boy nahisi nimeshapita!
  5. M

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    sifa zote ninazo isipokuwa namba moja ndiyo kikwazo mimi ni quadraple
  6. M

    Lembeli: CCM si Mama yangu

    Kwa hiyo Zidumu fikra za NEC?
  7. M

    Lembeli: CCM si Mama yangu

    Ndiyo mkuu tusitishiane kufukuzana kwenye vyama kwa sababu ya kutofautiana mitizamo au kufuata mtizamo wa mwnykiti, hivi "zidumu fikra za mwenyekiti" bado zipo? cc W.J Malecela
  8. M

    Hotuba ya Rais Kikwete: Sauti ya wananchi ambao hawakuhoji muundo wa Muungano ziko wapi?

    Mwaka 2010 waliojiandikisha kupiga kura walikuwa ml 14, na waliopiga kura walikuwa mil8, waliompigia kikwete walikuwa mil5 sawa na 30% ambao hawakumchagua na wasiopiga kura ni mil9 sawa na 70% kumbe kikwete hakustahili kuwa rais wa tz kwa takwmu hizo
  9. M

    Lembeli: CCM si Mama yangu

    Nyakati za chama kushika hatamu zilishapita kitambo lazi tukubali mawazo huru.
  10. M

    Lembeli: CCM si Mama yangu

    Na type ya Wiliam J Malecela kufa
  11. M

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Tafadhali CCM mbaki njia kuu (Kwenye rasimu yetu) Michepuko siyo dili.
  12. M

    Hivi Dola inakuwa na rais?

    Huyu lazima atakuwa muheshimiwa fulani kwani ndiye anayefanana na nyani.
  13. M

    Hivi Dola inakuwa na rais?

    Mmelipa sh.ngapi kwa kazi mliyomtuama? Kachemka hakuna mfano
  14. M

    Hivi Dola inakuwa na rais?

    UVCCM bhana kweli mmekuwa vipofu wa fikra hoja ikiwashinda mnakimbilia matusi.
  15. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Yes professor deep-water!
  16. M

    Live on TBC1: Kongamano la Vyuo Vikuu kuhusu Muungano

    Hata mimi siku hizi simuelewi elewi anasema tuna nchi moja ya tz yenye dola 2 wakati tuna nchi mbili? muungano si ulizali baada ya nchi mbili kuungana? mzee anazeeka vibaya huyu.
Back
Top Bottom