Search results

  1. amani kaseko

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili tatizo la maumivu ya kifua upande wa kulia

    Wakuu mnaosumbuliwa na hili Tatizo hebu jaribuni Kulala Kwenye Godoro tofauti na unalotumia tena Kwa njia rahisi zaidi unaweza hata kulala Kwenye carpet Kwa siku mbili au tatu ukiona Tatizo bado lipo then Hospital Kwa check up zaidi Kama walivyoshauri watalaamu.[emoji120][emoji120]
  2. amani kaseko

    500k mkononi nataka home theater 1000w

    Nipigie au nitext kwenye number yangu 0767 590607.. Tuyajenge
  3. amani kaseko

    500k mkononi nataka home theater 1000w

    Nipigie Au nitext kwenye Number yangu 0767 590607.. Tuyajenge
  4. amani kaseko

    Nauza Dish la Zuku

    ...Nauza Dish la Zuku na Decoder yake imetumika kwa muda wa miezi mitatu tu... Bei ni elfu hamsini (50,000).. Nipo Dar es salaam... Unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. shukrani
  5. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Nitakucheck kesho. Asante
  6. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Nimesha kupm number mkuu
  7. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Mkuu hiyo bei yako halipi mzee... karibu tena
  8. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Nimeshakupm mkuu
  9. amani kaseko

    King'amuzi cha Continental used kinauzwa

    ..Naomba na mimi niunganishe biashara yangu kwenye uzi huu..... Nauza king'amuzi cha Zuku na dish lake....nimekitumia miezi mitatu tu...Nipo Dar bei ni 70,000 tu... #0767 590607
  10. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Nimesha kupm number yangu... Karibu sana mkuu
  11. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    ...Mkuu hiyo ndio market value ya hiki kiwanja kwa sasa kwa wanaoishi Dar es salaam wanafahamu issue ya kutafuta viwanja ilivyo tena vyenye hati ndio issue kwelikweli... Karibu sana
  12. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    Block 1.. Miundo mbinu yote imefika.. Ni kiwanja kizuri mno
  13. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    ....Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Square metres 1000 Fully documented yaani kina hati kamili... Ni kizuri sana. Bei million 25. Ni pm kwa maelezo zaidi
  14. amani kaseko

    Kiwanja kinauzwa Bunju B

    ...Nyanyado nipigie simu 0713 590607 au nitext nitakupigia mkuu
  15. amani kaseko

    Sony bravia LED inch 32 inauzwa

    ....nipm namba yako mkuu
  16. amani kaseko

    Maduka gani yanauza perfumes Original (DAR)

    Nimerekebisha mkuu...Asante
  17. amani kaseko

    Maduka gani yanauza perfumes Original (DAR)

    ..Wanabodi poleni na majukumu.. Msaada kwenye tuta... Hivi ni maduka gani yanauza perfumes Original kwa hapa DAR?...sehemu nilizopita pita naona mchina katawala...Nashukuru
  18. amani kaseko

    Makochi (sofa) yanauzwa

    ...Biashara imekwisha... Asante sana Jamii forum na wadau wake
Back
Top Bottom