Search results

  1. L

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Kibusara hutakiwi kumuambia mtu hivyo mana ni kama umemdharau, unaweza kumuambia subiri kdg nakupigia.
  2. L

    Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume anapogundua anapendwa sana na mwenzake basi ataanza kumfanyia visa kama vile kutojibu sms zake kwa wakati...
  3. L

    Hatimaye Boss kaoa

    Karma is real
  4. L

    Hatimaye Boss kaoa

    Mimi nina mke watoto wako shule, we endelea kusubiri kujirahisisha kwa mabosi huku umri unaenda ukiamini watakuoa mwishowe wanaishia kukuchezea na kuoa wengine.... Jiulize kwanini bosi kaenda kuoa mwanamke mwingine na sio wewe, hapo ni kwamba kaona wewe ni malata na hufai kuitwa mke.Wewe ni...
  5. L

    Hatimaye Boss kaoa

    Usikute Karma imeanza kufanya kazi kwako mana huenda nawe kuna mchizi ulimzingua sababu ya huyo bosi wako.
  6. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    We chizi kweli wewe, aliekudanganya nimekuja kutafuta huruma nani ? We kweli unaliwa na mafisi
  7. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Tena watu kama nyinyi mnaonyanyua nyanyua mdomo ndo mnachapiwa kwelikweli.
  8. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Basi kama kama huna mke huwezi jua haya mambo ya watu wazima, baki na utoto wako.Au mwenzetu kipa katoka ?
  9. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Kumuwinda bosi sio rahisi kama kumuwinda mfanyakazi wa kawaida mana bosi ana kisu kirefu.
  10. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Toa povu uwezavyo ila mkeo anawaliwa huko ofisini Bitter truth 😂😂😂😂😂
  11. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi. Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka...
  12. L

    Tunaomba Serikali ilichunguze Shirika la MDH lenye makao makuu yake Dar es Salaam Mikocheni kwa Mwalimu Nyerere

    Tunaomba Serikali ilichunguze Shirika lisilo la kiserikali la Management and Development for Health (MDH) kutokana na yanayoendelea. Shirika hilo lina tabia ya kuwaita vijana na kuwafanyisha project za muda mfupi lakini mara project zinapokwisha viongozi hasa hasa upande wa uhasibu kwa...
  13. L

    Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Unatakiwa ujiulize kabla ya wewe kukutana nae kodi alikua analipa vipi
Back
Top Bottom