Search results

  1. Nyunyu

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Happy to know you are here!
  2. Nyunyu

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Binafsi Preta na @FirstLandy1. Sijawaona kitambo.
  3. Nyunyu

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Duh nimefurahi kukuona mkuu Kiranga
  4. Nyunyu

    Mwanafunzi wa chuo asipofanya field ni hatua gani atachukuliwa?

    Nenda kaangalie kwenye prospectus ya mwaka ulioinglia vhuo, wanaonyesha umuhimu wa field work maana ni sehmeu ya evaluation kwa mwaka huo. Field work ni sehemu ya evaluation yako kwanini hufahamu mkuu? Ndo maan nashangaa, haya matuition haya mhhh....
  5. Nyunyu

    Mwanafunzi wa chuo asipofanya field ni hatua gani atachukuliwa?

    Duh... Hawa wanafunzi wa chuo siku hiziz ni majipu!! Ina maana mwanafunzi hajua evaluation yake mpaka aje aulize swali hili? Au wewe si mwanafunzi wa chuo @gma man?
  6. Nyunyu

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Kuna wengine wanaitwa alliance global, msimamo wangu unabaki hakuna pesa rahisi
  7. Nyunyu

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    Pascal Mayalla is a serious writer, hii post mtu unaweza kumeza kasa ukatokwa mapovu vibaya mno. Pia inaweza isiwe vibaya. Ukweli ni kuwa usikurupuke kwenye hili, mwandishi yuko kivingine na ninamuelewa maana ni mtu mzima na huu si wakati wa kucheza cheza!!
  8. Nyunyu

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    Hayo ni ya kwako mimi sijasema nilisema tafsiri ya Mh Raisi siku ile, naheshimiana sana na Pascal Mayalla. Read between the lines toka post yake usichukulie juu juu kama inavyosomeka!!
  9. Nyunyu

    Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

    Kama kuna watu wa kupuuzwa ni huyu Bw. Muro. Najua anatafuta nini kutoka Administration hii... Hana haja ya kujidhalilisha kupata u-DC maana ndiyo the most he could get!
  10. Nyunyu

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    Nikweli na mimi nakuunga mkono Nguyu yetu Pascal Mayalla siku ile mzee alikuita a.k.a Njaa! Kwa mtazamo wangu pia hii imekaa ki-sarcasm pia maana kuna mengine yana ka ukweli ukweli ndani yake. So unataka waingie kwenye vita wanayojua mwisho wake aibu! Ki ukweli kuna umuhimu wa serkali...
  11. Nyunyu

    Picha za Wema akiwa na bwana ake zavuja

    carbamazepine Wema anafanya makusudi kuvujisha, maana umaarufu wake hupanda kwa mtindo huo. Iwe ni kiki, au kutafuta public sympathy.. Tayari yule dada yake maarufu ameshaanza kumtetea akisema aliyevujisha hampendi madam. Haya mambo yao wanayaelewa wenyewe...
  12. Nyunyu

    Tuwe na sheria ya kudhibiti uvaaji wa mavazi Tanzania

    Mpwa upo? Bwachatata!!! Naona hata haki ya kuvaa wanataka itwaliwe [emoji849][emoji849]
  13. Nyunyu

    Maajabu: Rais anateua Katibu wa Bunge kabla hata hajapewa majina 3 yaliyopendekezwa na Bunge kwa Mujibu wa Sheria?

    Pamoja na kuweka vifungu vya sheria unamuita ana husda [emoji15][emoji15]
  14. Nyunyu

    MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Lakini mi nakumbuka kinoike walikuwa dodoma miaka ya 2004 na walikuwa wanalima barabara ya Dom - Manyoni, mysteriously wakaindoka dodoma bila kazi kwisha, it make sense to me now!!! Haya maviazi yako mangapi hayajaiva?
  15. Nyunyu

    Ripoti za Madini: Tundu Lissu amuwakia Spika Ndugai

    Kwa hiyo alitoka bungeni kutema cheche kwenye hili, mara paaap, marisasi ya kutosha!! Wasomi wetu ndiyo wametufikisha hapa. Ngoja nifanye zangu kazi...
  16. Nyunyu

    Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

    Wale huwa wanafanya kazi na DA, kwa case ya marekani. Wanapata ushauri jinsi ya ku build kesi!! Polisi wa bongo ni nguvu zaidi ya maarifa watashindwa tu
  17. Nyunyu

    Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

    Actually ningemuona JPM hero kama angekuwa anawakumbusha kuhusu kesi zisizo na tija! Ni sawa na kufisadi fedha za walipa kodi. Hasa kesi za uchochezi, hawajawaho kushinda hata moja...
  18. Nyunyu

    Rais wetu Magufuli, tusaidie dhuluma tunayofanyiwa na ubalozi wa US & UK katika maombi ya VISA

    Kwanini ukosee kuweka vitu vinavyotakiwa wakati kuna check list inayotoa muongozo? Hii tutamlaumu maana hilo ni internal affairs za nchi husika, kumbuka kwa sheria za kimataifa zinazownzisha balozi, eneo la balozi husika ni sehemu ya nchi hiyo. Ndo maana hata askari wetu wanakaa nje hawalindi...
  19. Nyunyu

    Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Duh!! This is extreme now! Ina maana kwenye vikao vya cabinets ameshindwa kumalizana nao huko? Hapa ndo maamuzi magumu hutakiwa, inakuwaje watoto wako wanasikia na huna la kufanya?
  20. Nyunyu

    Rais Magufuli azindua barabara ya Kaliua-Kazilambwa, aagiza ujenzi wa barabara nyingine 2 kuanza

    Sasa mbona kama vile ya ndani ndani yanaibuliwa!!
Back
Top Bottom