Search results

  1. malisak

    Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    AHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAA
  2. malisak

    Ushauri: Nimwachie au nimpambanie mtoto wangu

    Mpambanie mtoto arudi mikononi mwako mama hakuna hapo. Kuna wakati wanawwake hatujitambui na hatujui tunataka nini
  3. malisak

    Birthday and deathday

    MAtendo ya kiimani
  4. malisak

    Nisaidieni kuwauliza

    Ina maana hamjui tunachotaka?
  5. malisak

    Kwanini Sera ya Faragha haizingatiwi?

    Yaani nimecheka kwa nguvu mpk boss wangu kanifuata nitoke nje mzungu kamind.
  6. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Pishi lina mlolongo hili kusema ukweli nilishajaribu ila halikutoka poa na sikupenda kujifunza zaidi sababu lina mlolongo mrefu
  7. malisak

    Kwanini Sera ya Faragha haizingatiwi?

    Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane? Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako hivi nguvu ya kuanza kujirekodi unaitolea wapi? Maana najua utakuwa na KIMUHEMUHE cha kukata na...
  8. malisak

    Wakongwe Forum

    Sisi tuliopindukia ukongwe tunacoment wapi?
  9. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Waweza kupika upendavyo ila kiasili yanapikwa bila kukatwa
  10. malisak

    Mwana mpotevu nipokeeni

    Yaani mkuu ukitaja tu hilo jina la DP World mimi huku BP,Shell,Caltex,Total vyote vinapanda kwa mpigo. Na siku huanza kuharibikia hapo napoteza appetite ya kula na homa inapand akwa hasira. Ndhani mpk hapo ushajua msimamo wangu, nisaidie kama kuna mahali salama nikaombe uraia nihamie huko...
  11. malisak

    Mwezi wa pili wa juhudi ya kupunguza uzito wa mwili; umegoma kuleta matokeo. Tatizo ni nini?

    Wanga pia usikosekane kabisa unatumia kidogo anagalau mara 2 kwa wiki
  12. malisak

    Mwezi wa pili wa juhudi ya kupunguza uzito wa mwili; umegoma kuleta matokeo. Tatizo ni nini?

    Ngoja nikupe njia nyepesi kidogo na itakusaidia kwa haraka. Tafuta majani ya mlonge mabichi, purura kisha osha na uyasage kwenye blender kama smooth kunywa asubuhi na usiku kabla ujalala. ukiiweza hii utapungua mpk utashangaa na yanakata njaa na kuondoa sumu mwilini tumia mpk uone umetosheka na...
  13. malisak

    Kama kupendana kwako ni hivi basi tayari umeshapotea

    Hapo kwenye kwanini nampenda sasa!
  14. malisak

    Pishi la maini ya kuku

    Ni tam balaa
  15. malisak

    Pishi la maini ya kuku

    Maini ya kuku yapo super markets unaweza kununua kwa portions upendazo nadhani yanaanzia nusu kilo sababu wao huchinjisha kuku na kutenganisha kila kitu kama sehemu ya bidhaa kujiongezea faida maana ukisema uchinje mwenyewe utachinja kuku wengi kupata maini kilo moja ila supermarkets yapo tayari.
  16. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Hili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina...
  17. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    MAHITAJI PISHI LA CHAPATI ZA MAJI .Unga wa ngano nusu .Mayai mawili .Maziwa vijiko viwili vya chakula .Chunvi robo kijiko cha chakula .Caroti .Blueband nusu kijiko cha chakula NJIA .Chukua chombo safi weka unga kisha weka maji ya uvuguvugu kisha changanya kwa kukoga .Weka mayai kisha endelea...
  18. malisak

    Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Mahitaji Majani ya kisamvu Karanga nusu kikombe kitunguu kimoja nyanya mbili karoti moja mafuta na chumvi kiasi Matayarisho 1. Osha kisamvu chako vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo 2. Unaweza kutwanga kwa kutumia kinu au kuchemsha kidogo na kisha kusaga kwa kutumia mashine...
Back
Top Bottom