Search results

  1. Brob

    Pius Masuruli ndie mgombea Ubunge Bunda mjini kupitia CHADEMA!

    usichanganye mzee tarime ni ester matiko
  2. Brob

    Msaada kuhusu sheria ya waongoza wageni nchini

    Hakuna wanasheria humu ndan?
  3. Brob

    Msaada kuhusu sheria ya waongoza wageni nchini

    Wakuu naomba kujua sheria yetu inasemaje kuhusu waongoza wageni, je inaruhusiwa mtu ambaye si raia wa Tanzania kuongoza wageni ndani ya Tanzania ufafanuzi kuhusu guiding act inasemaje.
  4. Brob

    Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    aise hii kali so na wewe wamekukodi?:drama:
  5. Brob

    Milambo high school alumni

    sina tarifa za majubwa lakini kusema alifariki 10yrs nakanusha make mpaka 2007 alikua hai;
  6. Brob

    Milambo high school alumni

    hahahahh kibondo mzee wa negligence
  7. Brob

    Milambo high school alumni

    Nakumbuka siku tumechimbia chungu katikati ya uwanja wa Alli Hssan mwinyi tukakesha tunaulinda pia siku ya mechi nikaingia na kwama nikiwa nimevalia sket na t-shirt ya KAZIMA SEC jamaa nao wakaachia njiwa uwanjani akatua jukwaa kuu tukapigwa gori za fasta fasta nikatamani nivue nguo lakin baada...
  8. Brob

    UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

    Wana iringa si mambumbu kama mnavyofikiria wanamisimamo yao najua watu tutaenda kuwasikiliza ACT ila wasilogwe kumponda msigwa au CHADEMA watajikuta wapo wenyewe waeleze sera wataeleweka.
  9. Brob

    Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

    :A S-baby:
  10. Brob

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    :llama::llama::llama::llama::llama:
  11. Brob

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Nakumbuka nilivyoingia milambo high school nikapita mitaa ya chem chem kila nyumba nasikia harufu ya pilau ukiangalia nyumba zilivyopinda nilichoka.
  12. Brob

    Ripoti kuhusu oparesheni tokomeza ujangiri inasikitisha sana

    Acha tembo wafe hawanafaida.
  13. Brob

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Nimepokea ushauri wa kutosha sitoi hela na nishamwambia kanijibu asante.
  14. Brob

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Duuuhhh!! sasa hapo pabaya
  15. Brob

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Kaka huwezi amini sina jambo lolote lile tangu alivonikataa ila nilikua namsaidia kwa sababu ya mazoea ila kwa hill naona kazidi
  16. Brob

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Hapana mkuu sijawahi kukumbushia
Back
Top Bottom