Search results

  1. S

    Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    angekuwa mama yako au dada yako kafanyiwa hivo ungesema ni kiki? au unaandika tu kujifurahisha.. ifikie wakati watu wafanye kazi zao kwa weledi sio manual.
  2. S

    Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    tulia, watu inabidi waelewe kuna sheria sio wanafanya tu wanavyotaka..sheria zipo.wanatakiwa kufuata sheria..sio sifa sifa tu zisizo na maana yoyote
  3. S

    Kipindupindu chatikisa Rukwa; Mmoja afariki, 20 walazwa

    hii habari sio nzuri kabisa, wananchi inabidi waelimishwe kuhusu usafi
  4. S

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    hivi kuna walimu wanaoweza kufanya hivi bado hapa nchini?? au umeandika tu kujifurahisha mkuu?? hiyo shule ni private au government?
  5. S

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    waacheni watoto wavute bangi,hamtakiwi kuwagusa; mnatakiwa mtumie saikologia mliofundishwa chuoni kuwafundisha watoto kuacha bangi..nyie walimu vipi?
  6. S

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    waacheni watoto wavute bangi, mnatakiwa mtumie saikologia mliofundishwa chuoni kuwafundisha watoto kuacha bangi..nyie walimu vipi?
  7. S

    Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    kuna ulimbukeni wa watu katika kushabikia vitu tu bila kufikiria fresh
  8. S

    Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    hawa ndio wale ma oya oya...hawafikiriii; wao ni oya oya tuu
  9. S

    Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    kaka inaonekana huelewi unachosema kabisa... umenishangaza sana..
  10. S

    Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    mimi sio mwalimu ndugu, lakini nimekuelewa sanaa, tunakoelekea ni waalimu watakuwa hawajishughulishi na chochote, mwanfunzi afanye homework au asifanye sawa tu, au wanawatungia maswali rahisi ya 1-1=? . watu wanalaumu upande mmoja tu bila kujiuliza upande wa pili ilikuwaje? what was the trigger...
  11. S

    Ofisi ya Waziri mkuu kuanza kutumia usafiri wa bajaji na bodaboda lengo ikiwa kubana matumizi.

    Safi sana, nilikuwa naombea sana tufikie mahali tutumie usafiri wa kawaida ili kubana matumizi; ni pesa chungu nzima zinatumika kwenye safari za kikazi kwa kutumia usafiri ghali,bora sasa hivi..kitu cha bajaji/boda boda shaaaaaaa! kwanza ni fasta kwenye foleni pia ni cheap...
Back
Top Bottom