Search results

  1. julius mahinya

    Babu yangu hanithamini.

    Sidhani kama una haki kwa babu yako, wanasheria watatujibu hill, lakini kama ulishagundua babu yako anapenda sifa c utumikie kafiri upate kuendesha mradi wako? namaanisha msaidie kazi na msifie!
  2. julius mahinya

    Ndoa na iheshimiwe na watu wote

    Ni vema na haki!
  3. julius mahinya

    Too good Looking to get a boyfriend

    mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!
  4. julius mahinya

    Too good Looking to get a boyfriend

    Hakuna mkate mgumu kwenye chai!
  5. julius mahinya

    Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    team lowassa kazini, mtaumia sana mwaka huu.
  6. julius mahinya

    Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    hii ni team ya LOWASSA kazini!!!!!!
  7. julius mahinya

    Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    akili ndogo haiwezi kufanya kazi palipo na akili kubwa!
  8. julius mahinya

    Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Una kumbukumbu kweli wewe? unajua kisa cha SHIBUDA kuhama ccm 2010 kweli? au akili yako imepatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu!?
  9. julius mahinya

    Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Unamchukulia kirahisi sana Makongoro but Lowassa anamuogopa sana kuliko watia nia wote! kuhama chama si sababu ya msingi. Taifa hili ili liwe salama usalama wa taifa ni mhimu sana, ukitazama kwa makini baadhi ya watia nia walikuwa usalama wa taifa mfano Pinda, Membe, Makongoro n.k unapofanya...
  10. julius mahinya

    Lowassa kioo tuelekeacho

    unapewa hela kuleta uzi kumtaja mwizi mkubwa huyo, shame on you!
  11. julius mahinya

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    mleta mada huna akili! Zitto naye mtaalam?
  12. julius mahinya

    Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Ukifikiria kwa kina kati ya watia nia waliotangulia, Mako, hana harufu ya ufisadi kabisa wala hajatumia jina la baba yake kujinufaisha yeye na familia yake! ameahidi kwenda kupambana na rushwa, hana mtandao atakaoulinda baadae akiwa madarakani. Atarejesha heshima ya nchi (nadhani hapa...
  13. julius mahinya

    Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

    tamaa ipi aliyonayo Makongoro? unajua tamaa za Lowassa?
  14. julius mahinya

    Waliotia nia ccm sijaona wa kuwa raisi wa nchi yetu

    kuongea na mpbv akaelewa ni tabu, poa umeshinda nakueleza ukweli unaleta ushabiki, uraisi si jambo la mzaha!!!!!!!!!
  15. julius mahinya

    Waliotia nia ccm sijaona wa kuwa raisi wa nchi yetu

    ukiwapima vizuri kama hakuna mtanzania aliyejitokeza Wasira anawazidi pmbv, Lowasa mwasisi wa chama hicho alimkataa 1995 na alikata jina lake mapema kabisa kwa kuwa alimjua kijana wake vizuri ana mkono mrefu. Lowasa alishapigiwa yowe ya wizi wa mabilioni kupitia Richmond kitendo cha kuhisiwa tu...
  16. julius mahinya

    Waliotia nia ccm sijaona wa kuwa raisi wa nchi yetu

    Ni imani yangu Lowassa si correct material kuwa raisi wa nchi, pia naamini Wasira pamoja na kutokuwa na harufu ya ufisadi kama alivyodai si mtu sahihi kuwa raisi wa nchi, hii ni sawa na Mwigulu Nchemba hafai hata kidogo kuwa raisi wa nchi, hata ule unaibu waziri alionao hakupaswa kuupata...
  17. julius mahinya

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    He sought the nomination of Chama Cha Mapinduzi (CCM) as its presidential candidate in 1995 but was eliminated in the early stages single-handedly by the charismatic former President Julius Nyerere, who strongly believed that Lowassa was not then correct material for the Presidency!
  18. julius mahinya

    Kikwete atamwachia Mrithi wake wakati Mgumu sana!

    Kuna mkataba gani umewekwa wazi? unajua mkataba wa gesi, migodi, au unazungumzia report ya CAG? au unadhani CAG anaweka kila kitu wazi? unadhani kwa nini Capacity charge ya IPTL inailiza TANESCO?
Back
Top Bottom