Search results

  1. J

    Aina ya Wanawake wanaopendwa na wanaume Duniani!

    Ndoa ni mpango wa Mungu, wapo wa namna hiyo na wanateseka tu kwenye ndoa zao.
  2. J

    Miss Tandale 2014

    Kukremu ndo mwendo mdundo
  3. J

    Utani mwingine bwana ni majanga

    Hahaha huyo jamaa ni nouma,utani wake anaweza kukuua kabisa
  4. J

    Maana ya neno BLACKMAIL "kiswahili"

    Sio kweli bhana umekosa. Hapo maana yake baada ya kuipata hiyo habari ya lulu na Kanumba unawatishia wahusika kuwa wasipokupa kiwango cha pesa unachotaka unairusha hewani ila wakikupa unauchuna.Hiyo ndo maana halisi. Utapeli kupitia documents.
  5. J

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Aysee ndo maneno uliyopata toka kwa Baba yako,. afu nyie na wazee wenu mna matege ya ubongo.Yaani huwezi kuamini ukimuona Lukuvi akiwa katika suti maridadi na tai,unaweza ukadhani ni gentleman na IQ zake za kutosha. Kumbe wapi bhana walewale IQ below 60. Nawe am sure upo kwenye hili group la...
  6. J

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Mapenzi yasizidi utashi jamani.! Ni dhahiri mnampenda sana Tundu Lissu kiasi hamuoni matusi wala Lugha ya kejeli iliyotumika and trust me hamtakuja kuona hata siku moja kwakuwa mmechagua kutokuamini kama jamaa katukana. Binafsi siwashangai kwa jinsi mnavyo behave, kwasababu hiyo ni tabia ya...
  7. J

    Hivi mh. Zitto Zuberi Kabwe nae alitoka Bungeni jana!?

    Naanza kupata hisia za kuwa Zitto Kabwe yawezekana ni mwanasiasa Maarufu sana Tz, akitoka Kikwete anayefuata nadhani ni yeye. Kwa chochote anachofanya ana draw attention ya watu wengi sana.Hata pale aliposimama Bungeni kuzungumza jana,bunge kimyaaaa hamna anayezomea wala kupiga kelele. Ni...
  8. J

    New song; Professor Jay ft Diamond -Kipi sijasikia

    Song kali sana, Haters push away yaani tupa kuleee.Nilikuwa Club Jana ngoma naisikia inakita kwa nguvu kwenye spika kubwa dahhh raha tupu yaani.., Big up Prof Jizeeee
  9. J

    Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    Lakini mi nakumbuka kwenye kiingereza nchi hutajwa kwa jinsia KE..! Eg. Tanzania is a beautiful country, she has many resources and blah blah blah..... Kwahyo kama udhalilishaji umefanyika then i guess kwa nchi itayotajwa kuwa mume.
  10. J

    Skype

    Nisaidie nami nimeinstall kwenye pc ila imeniambia nifanye window registration and upon this process inasumbua kipengele cha mwisho kwnye kuandika nambari ya simu wananiambia niache nafasi,nitumie mabano,mara square bracket.Dah hata sielewi wapi niweke nini.!? Msaada kwa kweli.!!!!
  11. J

    Makwaia wa kuhenga na serikali mbili

    Ila kwa jinsi nilivyojaribu kufuatilia maelezo juu ya serikali tatu na yale ya serikali mbili, nimeona dhahiri kuwa katika serikali tatu Muungano utadhoofu na hatimaye utakufa. Ila kwa sasa serikali mbili haziwezekani tena kwakuwa Tanganyika inaonekana wazi kulivaa koti la muungano. My take...
  12. J

    Unataka ipi, kizamani au kisasa?

    Mmmmh Eiyer nawe mgumu kuelewa, yaani maelezo yote hayo hujanifahamu nipo mlengo gani.Mbona nilishabainisha kuwa nipo kwenye kisasa nawe umefafanua kisasa ilivyo. Ila sishangai sana vile weh ni Me,
  13. J

    Unataka ipi, kizamani au kisasa?

    Sio kuongozana, Tunataka tuongoze yaani kushika hatamu. Kuna msemo unasema wanaume kichwa cha chini kikisimama cha juu hakifanyi kazi, ni bora yetu sisi maana muda wote tunawaza vyema kuliko nyie hamtabiriki so hamtakiwi kuwa last say
  14. J

    anacheka nini

    Hahahah huyo ni noma hata mi ningecheka
  15. J

    Angalia nafasi mpya ya kazi kutoka Tanzania Institute of Bankers

    Duh aysee hawa jamaa, ndo kamoja tu.
  16. J

    Kinadada week end hii na nyie lipeni bill

    Siye tunalipa bill kwa bed bhana,we ni vipi aysee. Ukiambiwa upige push up mwenyewe unaishia tano, ukiwa juu ya kifua cha baby wapiga infinite push up (We call it Push up with motivation). So weh lipa tu ni halali yako.
  17. J

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Bei za mazao huwa zinabadilika kulingana na uhitaji wa walaji,ubora wa zao lako na mahali unapotaka kwenda kuuzia. Bei uliyotajiwa leo sio lazima iendelee kuganda hapo ilipo hata kipindi utakachovuna wewe.Hiyo 45000 inaweza kuongezeka au kupungua. Kwakuwa umeshalima na inaonyesha ulifuata...
  18. J

    Unataka ipi, kizamani au kisasa?

    Miye nataka mfumo wa kisasa, maamuzi ya wanaume wengi wa siku hizi ni majanga sana.Bora tuongoze nyumba,
  19. J

    IKULU yawashukia Jaji Warioba na Gazeti la Raia Mwema (la Jumatano April 2, 2014)

    Haiwezekani kuwe na mivutano kiasi hiki, lazima kuna sehemu tume ya Warioba imepishana na maagizo ya Mkulu wa kaya. Naanza kupata mashaka na ripoti ambazo tume nyingine zimekuwa zikiwasilisha huku zikipewa baraka tele na huyu ------ yawezekana huwa wanampatia majibu aliowaagiza au majibu...
Back
Top Bottom