Search results

  1. Semilong

    Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

    Je kwa maoni yako Mbowe amefikia ukomo na hapaswi kuendelea?
  2. Semilong

    Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

    Kabila la wanajeshi.... Kuna kabila Tra..... Siku hizi kuna kabila la Usalama....
  3. Semilong

    Serikali inunue mabasi na ifute leseni kwa mabasi ya Dar kwenda Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma,njia hizo Serikali izimiliki, itapata mabilioni

    Ungekuwa una miliki biashara ya mabasi usinge toa ushauri huu kwa serikali. Hii ni mentality ya tukose wote. Hayo unayoyasema yamejaribiwa duniani kote sio mapya. Serikali ijikite kwenye kukusanya kodi nakuwezesha sekta binafsi
  4. Semilong

    CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

    Umetoa mapendekezo, lakini hujasema tatizo la Chadema ni nini? I wish ukaja ukaenda straight to the point nakusema matatizo ya Chadema ni 1,2,3.... Ubaya wa kutoa mapendekezo kabla ya kuainisha matatizo kinaga ubaga, ni kuwa haya mapendekezo yanaweza kuwa ni ya kufikirika ya tatizo ambalo...
  5. Semilong

    Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Hata confidence Yao ipo juu sana, wengine wangekataaa na hiyo interview yenyewe. Sikutegemea kama wangeongea kiasi hicho. Watanzania wachache sana wanaweza kufanya interview za kingereza bila makosa
  6. Semilong

    Pendekezo la kiutu kwa viongozi wetu wa kisiasa

    Rais na serikali walipe Bill ya hospital, mkono mtupu haulambwi
  7. Semilong

    CHADEMA na ubunge 2020

    Hapatoshi, cdm needs to work even harder. Embu fikiria mtu amekutawala for more than 55 years na Maendeleo kiduchu. Kama uduni wa maisha haukushawishi kupigia kuna chama kingine, what else would? Embu fikiria yanayotokea Leo kwa mwenyekiti wa act, ni chamgamoto Kubwa sana..... inabidi wapambane...
  8. Semilong

    CHADEMA na ubunge 2020

    Hizi ofisi za maana za kata zinajengwa na nini, hela itatoka wapi? Hauitaji majengo makubwa ya Matofali kujenga chama, tena kipindi hichi cha teknologia ya Habari na mawasiliano. Ofisi ndogo sana Wilayani zinatosha. Ni vigumu CDM kushika dola, sababu kuu ni wa TZ kutojiamini. Hata...
  9. Semilong

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Mswada bora uanzishwe na mbunge mwingine, ukianzishwa na Lissu wabunge wa ccm hawataupitisha. CCM hawawezi kupitisha mswada bila ridhaa ya mwenyekiti wao, Lissu yupo sahihi kwenye hili. Mwaka juzi alilalamika sana kwenye issue ya gas na mafuta, ccm wakapitisha kwa wingi wao. Lazima Lissu...
  10. Semilong

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Tuache Unafiki na kuonea vidagaa, TMAA ni sisimizi tu kwenye hili sakata. Wabunge wetu walikuwa wapi wakati haya yanatokea. Chama na serikali vimefanya makosa na vimehusika moja kwa moja kwenye wizi huu. Mwaka juzi chama na serikali mmepitisha sheria ya mafuta na gas then twenty years down the...
  11. Semilong

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Please revisit your numbers kutoka Dar hadi Moro ni USD one billion na sio hiyo figure hapo ya 187m.
  12. Semilong

    A Police State

    Nyani Ngabu, it is not a police state, it is a Vi-wonder state. Your remarks are causing a delay in industrialization of our country. Sir, We are going to detain you so that we can proceed with viwondernisation.
  13. Semilong

    Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

    hakuna nchi inayotaka raia wake wanyongwe nje ya nchi, huu ni ujinga uliokithiri. Hata kama ni drugs balozi inabidi afanye jitihada ili warudishwe nyumbani kwao. Exposure ni kitu muhimu sana. kila siku uko against your very own people. Kuangalia bunge mubashara hutaki, mitandao ya kijamii...
  14. Semilong

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    1.mwenyekiti wa ulinzi na usalama kazi yake ni ku chair vikao vya ulinzi na usalama, sio mtendaji. watendaji ni police. Mandate yake inaishia kwenye strategic decision making. 2. Mbowe official address yake ni Hai, mkoa wa Kilimanjaro ambako ni nyumbani kwake. Yuko chini ya RC mwingine...
  15. Semilong

    Duuh kweli Magufuli ni balaa, hata huyu?

    Hao wahitimu kwa nini wasihoji wenyewe?? lazima wasimame na miguu Yao miwili, tena wasipeleke kabisa hela, wafeeee. Yanayotokea kwa wafanyakazi tuico kimya, nayo pia wapinzani wahoji. Nasema kaeni kimya wapinzani tuone tutafika wapi. wapinzani wanajitahidi sana under very extreme conditions...
  16. Semilong

    Vice President Samia Hassan instructs public servants to ensure justice for all

    Wetu wamepiga pushups campaign nzima kuashiria wao wana afya na mwingine anakaribia kufa , Leo lema ameota inakuwa shida. Hili taifa ni la kinafiki sana watu utasema hawajui kama Lema kawekwa ndani
  17. Semilong

    Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    Kweny Kwenye Nyumba area code ndio kitu cha kwanza na ndio kitu chenye thamani. Ndio maana three bedrooms flat in Oysterbay will command ten times ya three bedroom ya ubungo.
  18. Semilong

    Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    S Financial statement zao ziko online. Second nhc wamefanya kitu kizuri sana kupandisha kodi, viongozi, wahindi na family zao ndio wapangaji wa hizi nyumba za nhc . Unakuta nyumba ya nhc Upanga ni 250,000 wakati mtu anyekaa kimara nae analipa 250,000. Hawa jamaa waliokuwa wanakaa hizi Nyumba za...
  19. Semilong

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, TBC na Shirika hodhi la reli (RAHCO)

    Ha Hata mimi nina mashaka sana na ma academicians. Hawajawahi ku run even a small shop, ghafla wanakuwa CEOs, wengi wame fail miserably..... Wengi utakuta wametumia mda mwingi wa career zao wakiwa wanasoma na kufundisha. Anyway Let's wait and see
  20. Semilong

    Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

    Kote huko wakenya wako wengi, hata unapokutaja wewe. Tukienda mbali zaidi university zote UK na US zina wakenya wengi kuliko wa TZ na Ugandans combined. Kama boss alivyosema tumechelewa ku embrace Market economy na sasa hivi tutarudi nyuma zaidi. Swala Dogo tu la dual citizenship ni issue...
Back
Top Bottom