Search results

  1. P

    Mgogoro wa wakulima na wafugaji Manga,Tanga: Rais Magufuli atoa wiki 1 Hakimu Laizer awe amehamishwa kituo cha kazi

    Ungejua wala usingesema watu wanavoteseka but mahakim hawajali wanaangali rushwa tu.
  2. P

    Mwanafunzi azidiwa na kukimbizwa hospitali baada ya mwalimu kumchapa viboko 10

    Mbona zamani tulikuwa tunachapwa zaid hata ya hivo viboko? Watoto wa siku hizi nao shida. Nishawahi kuchapwa zaid ya viboko kumi mimi. Hatuwezi kujua mwanafunza alimfanyia nini mwalimu?
  3. P

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Mbona anajifanya sana yeye kama mungu. Too much is harmful mechoka. Sio lazima ukamatwe ndo umake headlines, kuna vitu vingi sana vya kufanya. Jimboni kwake anaenda kweli?
  4. P

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Kapewa kidogo huyo sio bure. Ila ngoja tuone koz kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho, na haki huwa haipotei. Transparency ni kitu muhimu sana. Nadhani mtakuwa mmenielewa.
  5. P

    Ukweli mchungu kwa UKAWA na upinzani, Lowassa hawezi kutuvusha

    Wema ana influence gani? Naona matangazoo mengiiii kumhusu yeye. Eti kahama ccm kahamia upande wa pili. Bora kukaa kama sisi ambao hatuna mlengo wowote
  6. P

    Sio ukabila,ni kutaka kujua tu

    Wasukuma oyeeeeee!
  7. P

    CV ya Titus Mlengeya Dismas Kamani

    Majanga!!
  8. P

    miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Si kosa lake mwanaume ndivyo alivoumbwa!!
  9. P

    Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    Hii inatisha but hakuna jinsi twendeni ivoivo tu ndo maisha yetu!!! Kinachowasumbua ni tamaa tu na si kingine!!!
Back
Top Bottom